Walcot is long season injured! Nisiulizwe source ya habari hizi
Duh poleni watani naona Walcott naye anakitembelea chumba cha majeruhi, kuna baadhi ya washabiki wa Arsenal wameshaanza kusema mko nje ya mbio za ubingwa.
...kila team ya Uingereza ina misiba yake.
'Arsenal' majeruhi kila International breaks, au kuvunjana miguu mazoezini.
'Man U' wao story zao ni Rooney tuuu na makahaba, wazee kwa vijana yeye hachagui!
'Chelsea' kuna JT na Cashley Cole na skendeli za Ngono.
Peter Crouch naye kajionea 'Spurs' wanaachwa nyuma naye huyoo...
Almuradi EPL haiendi bila vituko.
Umesahau "Night club Hooligans" : Jack Wilshere (Arsenal), Steven Gerrard (Liverpool), Marlon King (Wigan), Joey Barton (Newcastle)....
Wakuu salama?.............Napita kuwasalimu tu
Hahahahahahahah homeboy kuna tetesi uko honey money na mJF mmoja hahahahahaah haya bwana poleni sana na majeruhi!
Teh teh..........Honeymoon ishaisha aisee....Tupo huku Mtera tunampa tafu kijana wetu Lusinde
...kila team ya Uingereza ina misiba yake.
'Arsenal' majeruhi kila International breaks, au kuvunjana miguu mazoezini.
Mwendo Mdundo.
Tunashangilia kimya kimya mpaka X-mas!
:welcome:
Haya majeruhi yanatuweka pabaya kwelikweli