Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Hawa madogo wangu wakiendelea hivi, mwaka huu sitasumbuliwa na vidonda vya tumbo!
Hawa madogo wangu wakiendelea hivi, mwaka huu sitasumbuliwa na vidonda vya tumbo!
..Inafurahisha, ukikuta kitimu dhaifu funga bao nyingi kadri inavyowezekana. Naona Carlos Vela anakuja vyema, 3 goals in 2 matches not bad!!
Braga are not in championship quality!
Oya Rev, Mzenji anarudi lini?
Harudi ng'ooo! anakula urojo na Kalimati bado
wakuu wote tupo pamoja, naona tunaongeza majeruhi, Chammakh nafasi nzuri ya kuweka bao la 2 lakini wapi? naona mechi leo kwetu ni ngumu. jamaa wanacheza nguvukazi na SAong ndio nje,
Song red card.