Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wadau wa Imarati nawatakia kila la heri tushinde game ya kesho ya UCL dhidi ya Braga..........Hope tutapata ushindi munono munono............Kila la heri kwa wakuu wangu Mbu,Baba Mkubwa,Ng'wanza Madaso,Mpiga Filimbi,Le professeur Arsene Wenger,Richard,Kweli.RINGO EDMUND,BAK.GT,Shadow na washika bunduki wengine....

Pia nawatakia kila lla heri na ushindi majirani zangu wa darajani Rev.Masanilo(Home Boy),Peasant,EL NINO,Sanda Matuta na wengineo bila kuwasahau Mashetani Manda,mmbebabox,Eqlypz & co.....Nawatakia kila la heri na ushindi mnono kwenye game zenu za UCL wiki hii.................Pa1

........................................ARSENAL, TOGETHER WE STAND!

28rejux.png



 
arshavin anapiga cha pili assisted by fabregas.hii timu inatupa nafasi nyingi lakini tunashindwa kuzitumia huu mchezo ni mbaya sana wa kutoweza kutumia nafasi za wazi.
 
Mkuu AW.......Endelea kudondosha updates.........wengine tupo vijijini huku,hakuna cha TV wala nn.............Hope leo itanyesha mvua ya magoli maana muda mfupi tu !!!!!!!!!!!!!!!!..............Go Arsenal go.......................Pa1
 
mpira half time hapa 3-0.Arshavin anapotezamipira sana ,kiwango chake kinasikitisha siku hizi sio yule arshavin tunayemjua.
 
Muu AW.......Endelea kudondosha updates.........wengine tupo vijijini huku,hakuna cha TV wala nn.............Hope leo itanyesha mvua ya magoli maana muda mfupi tu !!!!!!!!!!!!!!!!..............Go Arsenal go.......................Pa1

bila wasi wasi mkuu.jamaa wametupa uhuru wa kucheza mpira wetu ni sisi wenyewe tuko relax sana ilitakiwa hiwe 6-0 show game imezidi.

hapa cha kuangalia je tunaweza kupata clean sheet manake naona kipindi sasa clean sheet inatushinda.
 
Hawa madogo wangu wakiendelea hivi, mwaka huu sitasumbuliwa na vidonda vya tumbo!
 
Huyu mtoto Wilshere ni noma sana...leo Arsenal wamecheza kama YANGA enzi zile za TAMBWE LEYA
 
Back
Top Bottom