Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SNN3009C-280_1115642a.jpg

ENGLANDand Arsenal teen sensation Jack Wilshere spent nearly ten hours in a police cell after a girl was left with a broken elbow in a 3am bust-up.

The 21-year-old victim was punched repeatedly and kicked to the ground outside a swanky nightclub and her boyfriend was bashed in the face.
Wilshere, 18 - who made his England debut in the friendly against Hungary earlier this month - was out partying with three pals when trouble erupted.

Once a scum, always a scum. He fits well into the chavette team, The Fat Arse!!
 
Wenger provides update on van Persie and transfers

Manager Arsène Wenger has moved to allay fears on the injury suffered by striker Robin van Persie in yesterday's 2-1 win over Blackburn Rovers.

The Dutch international had to be substituted in the first half by new signing Marouane Chamakh after contributing to the opening goal by Theo Walcott.

But the injury-prone 27-year-old has only twisted his ankle, and whilst he will welcomingly miss the upcoming international break, he will be unable to train for 10 days.

Wenger said: "It is a twisted ankle. We will have to check but if we have no bad news, we hope that in 8-10 days he can be okay."

The Frenchman also admitted that there is a slim chance of any more players joining during this transfer window, which means that there is little chance of a new goalkeeper arriving.

Wenger added: "I'm not ruling it out but at the moment I'm not in a position to sign anyone. At the moment, it is all dead.

"No players will be going out domestically. Some could leave and go abroad, for example in Spain and Italy the season hasn't started yet.

"But once the season has started it is important that there is no movement.

"I believe the transfer window should have been over already for a long time. It should stop when the league starts for domestic transfers, internationally it can go on until August 31 because not everybody starts at the same time."

http://arsenal-mania.com/articles/3109077/Wenger-provides-update-on-van-Persie-and-transfers.html

Simuelewi kabisa Wenger:confused2::confused2:, yaani suala la kipa kwa vile Almunia amecheza mechi moja vizuri v blackburn ndio tusahau tena? kwa kipa huyu tulienae mimi naona naanza kupoteza matumaini.
Eti transfer window should have been over already for a long time? kwa sababu tu Fabregas bado amesisitiza anataka kwenda Barca, na kuna habari kwenye team coach walipokuwa wanarudi toka Blackburn Fabregas aliuchuna hata wapenzi waliokuwa wanataka asaini autograph aliwachunia. Si bora na aende tu!
 
Once a scum, always a scum. He fits well into the chavette team, The Fat Arse!!
Wachezaji wa Kiingereza wengi wako hivo hata akina Terry, Ashley Cole et al.
Hata Obi Mikel nae amesha-adapt culture hii .
Lakini habari ziliopo ni kwamba dogo alikuwa peace-maker na wala sio kwamba alihusika kwenye vurugu.
 
Kipenda roho........hii ndo sababu Mzee Wenger amebobea kusajili wafaransa!

Haya Gallas on his days at Arsenal

gallasmokejoke1.jpg
 
Simuelewi kabisa Wenger:confused2::confused2:, yaani suala la kipa kwa vile Almunia amecheza mechi moja vizuri v blackburn ndio tusahau tena? kwa kipa huyu tulienae mimi naona naanza kupoteza matumaini.
Eti transfer window should have been over already for a long time? kwa sababu tu Fabregas bado amesisitiza anataka kwenda Barca, na kuna habari kwenye team coach walipokuwa wanarudi toka Blackburn Fabregas aliuchuna hata wapenzi waliokuwa wanataka asaini autograph aliwachunia. Si bora na aende tu!

Arsenal imemuulizia kipa wa Lille Mickael Landreau ambae wameambiwa anagharimu kama 6.5 milioni hivi.

article-0-026197450000044D-484_468x313.jpg

Landreu ana miaka 31 na ni mzoefu.

Mwaka jana Wenger alijaribu kumsajili lakini akampa tena nafasi Almunia ambae nae bado si makini golini. Almunia ana tatizo la "communication" na mabeki wake na iwapo kuna mashambulizi yanayotokana na "long balls" au "long thro-ins" basi kuwa kuna mtafaruku golini.

Kwa kweli baada ya mechi tatu ambazo Arsenal imecheza, kunahitajika kipa mzoefu na huenda Mark Schwarzer akasajiliwa kwenye dakika za mwisho kama ilivyofanywa kwa Arshavin.

Pia Arsenal wamekuwa wakigombaniana kipa wa zamani wa Portsmouth Azmir Begovic ambae kwa sasa yupo kwenye timu ya Stoke City lakini bado hajacheza.

Begovic ana miaka 23 na anaweza kuwa big investiment kwa Arsenal lakini bad news ni kwamba Chelsea wanamwambia ikiwa watamsajili atakuwa kipa namba mbili baada ya Petr Cech.
 
Mkuu upo, za weekend?

Naona kasi ya Chelsea si ndogo.

Stoke walitubana sana! Tunawasubiri West hama sasa! Tafuteni kipa kijana mzuri.....Nimefurahia matokeo ya Wigan zidi ya Tot na Sunderland zidi ya Man Citeh pia laliga Real Madrid vs Mallorca
 
Tottenham walikuwa wanajiona kwamba wao sasa ni timu kubwa na kuwadharau Wigan hasa baada ya kufuzu kucheza "champions league". Lakini timu kama Wigan ni za kuziogopa sana. Hali hio pia imewakumba Man City na pamoja na investiment yao yote wakipoteza mechi tatu zijazo itabidi Mancini afikirie kazi kuhusu nafasi yake.

Real Madrid chini jana nimeiona kwamba inajaribu ku-practise mtindo wa kuwa "too defensive" na mashambulizi ya ghafla lakini mtindo huo unawapa nafasi mabeki wa timu nyingi kukamia wachezaji kama Ronaldo.
 
Tottenham walikuwa wanajiona kwamba wao sasa ni timu kubwa na kuwadharau Wigan hasa baada ya kufuzu kucheza "champions league". Lakini timu kama Wigan ni za kuziogopa sana. Hali hio pia imewakumba Man City na pamoja na investiment yao yote wakipoteza mechi tatu zijazo itabidi Mancini afikirie kazi kuhusu nafasi yake.

Real Madrid chini jana nimeiona kwamba inajaribu ku-practise mtindo wa kuwa "too defensive" na mashambulizi ya ghafla lakini mtindo huo unawapa nafasi mabeki wa timu nyingi kukamia wachezai kama Ronaldo.

Nice analysis mate! Sidhani kama Man Citeh ama Tot kuingia top four......Mzee Hodgson asipoibadili Liverpool kuwa Fulham basi watarudi Top four! Mourhino huenda akafukuzwa RMadrid kwa mchezo ule wa jana.
 
wakimfukuza mourinho hao real madrid basi laana kama waliyofanya kumfukuza vicente del bosquewakati ule itazidi kuendelea,sir alex ferguson kaingia man utd novemba 1986,kakaa misimu takriban 7 bila ligi daraja la kwanza inaitwa kipindi hicho,alibeba makombe mawili tu 1988 fa cup na 1991 washindi ulaya(imeungana na uefa cup inaitwa europa cup siku hizi),wamempigia sana kelele za kutaka kufukuzwa hadi waandishi wa habari walidiriki kumwambia hautabeba kombe na kusajili nicky butt,scholes,na kuwaacha kina mark hughes kocha wa fulham sasa,wakati huo kina scholes,bekham,phil neville,gary neville na nicky butty wakiwa chipukizi mwaka 1995-96,na wakajibu mapigo wakatwaa premier league na fa cup wakaitwa double winners,ikawa mafanikio kama yameanzia hapo,inabeba misimu 2 mfululizo ikikosa 1,unaofuata inarudisha mpaka 1999 ikachukua 3 vyote uefa champs,premier na fa,mpaka leo hata useme nini wamemuacha fergie haingiliwi na hakuna mchezaji yoyote ambae anakuwa juu na fergie hadi kuitwa sir(cbe)commander of british empire,kwahiyo wakitaka mafanikio wawe wavumilivu,wasiwe kama chelsea na abramovich walivyokorofishana na mourinho kisa kupangiwa listi au kufagilia wachezaji kama shevchenko lazima aanze first eleven(samahani lakini),ujumbe matatizo ndio ukubwa,chakula kizuri kinahitaji muda na uvumilivu,hata roma haikujengwa kwa siku 1
 
Mazee, U have missed out what was in discussion with Sir Richard!
 
Hizi timu ndogo sidhani kama wataweza mikimikiki ya mashindano makubwa EPL,FA,Carling Cup & Champs League zitawashinda
 
Haya Van Persie ndio ameshaanza kwenda chumba cha majeruhi.
 
Fabiansk
Manone
Almunia

Haya ni mabomu hebu tafuteni kipa nyie wadwanzi!
 
Wenger mpumbavu yule mzee ,sijui kwanini amempotezea mda wake Fabregas.Kama alijua hayuko serious na timu angemuuza tu Fabregas kulikoni kumpotezea mda wake kwenye timu ambayo haina shida ya kombe bali ni biashara tu.

Mie nimeshajiandaa na kutopata kikombe kama kawaida.kelele nitazoziendeleza ni za ushabiki kuchangamsha kijiwe tu mpaka may mungu akipenda.

Sema kwenye list yako hio MANONE kiboko yao.Hao wengine bomu tu na Wenger anajua lakini hajali.
 
Arsenal imemuulizia kipa wa Lille Mickael Landreau ambae wameambiwa anagharimu kama 6.5 milioni hivi.

article-0-026197450000044D-484_468x313.jpg

Landreu ana miaka 31 na ni mzoefu.

Mwaka jana Wenger alijaribu kumsajili lakini akampa tena nafasi Almunia ambae nae bado si makini golini. Almunia ana tatizo la "communication" na mabeki wake na iwapo kuna mashambulizi yanayotokana na "long balls" au "long thro-ins" basi kuwa kuna mtafaruku golini.

Kwa kweli baada ya mechi tatu ambazo Arsenal imecheza, kunahitajika kipa mzoefu na huenda Mark Schwarzer akasajiliwa kwenye dakika za mwisho kama ilivyofanywa kwa Arshavin.

Pia Arsenal wamekuwa wakigombaniana kipa wa zamani wa Portsmouth Azmir Begovic ambae kwa sasa yupo kwenye timu ya Stoke City lakini bado hajacheza.

Begovic ana miaka 23 na anaweza kuwa big investiment kwa Arsenal lakini bad news ni kwamba Chelsea wanamwambia ikiwa watamsajili atakuwa kipa namba mbili baada ya Petr Cech.
Mkuu jiandae tu with another "hopeless season".Nilikaa leo nafatilia transfer mpaka dakika ya mwisho na kichwa kiliniuma.
 
Back
Top Bottom