Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu jiandae tu with another "hopeless season".Nilikaa leo nafatilia transfer mpaka dakika ya mwisho na kichwa kiliniuma.

Mkuu nafikiri Wenger na maskauti wake wanauma meno sasa hivi.

Leo wameshindwa kumnunua Mark Schwarzer kwa paundi milioni 4 walizoweka kwenye meza ya Fulham.

.jpeg

Mark Schwarzer

Sababu ni kwamba Fulhamu walikuwa wanategemea kusajili kipa wawili kuziba pengo ambalo lingeachwa na Mark Schwarzer.

Makipa hao ni wa Crystal Palace timu ya daraja la kwanza aitwae Julian Speroni ambae ni kutoka Argentina, Crystal Palace wakasema wanataka 1.5 milioni na Fulham hawana kwa wakti ule.

Hapohapo Fulham wakawa wanataka kumsajili kipa mwingine Brazil aitwae Alexander Doni ambae anachezea FC Roma ya Italy, ambae nae dili lilikuwa linafanyika kwa simu kati ya London na Italy na ikabidi wakala wake aje mchana kwa kusaini makaratasi kwa niaba ya Alex lakini mwisho ikashindikana.
 
Mkuu nafikiri Wenger na maskauti wake wanauma meno sasa hivi.

Leo wameshindwa kumnunua Mark Schwarzer kwa paundi milioni 4 walizoweka kwenye meza ya Fulham.

.jpeg

Mark Schwarzer

Hapohapo Fulham wakawa wanataka kumsajili kipa mwingine Brazil aitwae Alexander Doni ambae anachezea FC Roma ya Italy, ambae nae dili lilikuwa linafanyika kwa simu kati ya London na Italy na ikabidi wakala wake aje mchana kwa kusaini makaratasi kwa niaba ya Alex lakini mwisho ikashindikana.

ubahili wa wenger na mchezo wa kusubiri last minute umetuponza.
 
Wenger mpumbavu yule mzee ,sijui kwanini amempotezea mda wake Fabregas.Kama alijua hayuko serious na timu angemuuza tu Fabregas kulikoni kumpotezea mda wake kwenye timu ambayo haina shida ya kombe bali ni biashara tu.

Mie nimeshajiandaa na kutopata kikombe kama kawaida.kelele nitazoziendeleza ni za ushabiki kuchangamsha kijiwe tu mpaka may mungu akipenda.

Sema kwenye list yako hio MANONE kiboko yao.Hao wengine bomu tu na Wenger anajua lakini hajali.

Mh. AW, usikate tamaa tafadhali subiri vipimo....lol
 
Ni ukweli halisi mkuu,nitawaunga mkono all the way lakini sito wapa nafasi ya kuniumiza kichwa changu hata kidogo kwani ujumbe washanipa "its all about business".Board wanaangalia stock zao zimepata faida thats it,mambo ya kombe hayo tumeachiwa sisi fans tuumize kichwa wao hawajali.
 
Welcome to the bluez!
 
Mfate Messi basi Barca!

Ligi mbovu hile its all about 2 teams.

sizungumziii kuhama mkuu nitaendelea na Arsenal mpaka mageuzi yatakapofanyika.Inaboa sana kuona timu ina ubovu eneo flani na timu ina uwezo wa kurekebisha lakini wanaamua kupuuza.
 
ubahili wa wenger na mchezo wa kusubiri last minute umetuponza.

Pole sana kaka,
Tupo pamoja kwenye kumuuguza mgonjwa wetu huyu hapa ICU.
madaktari wanasema huenda 'vidonge na sindano' alivyopewa Almunia vitamsaidia mgonjwa wetu.
January haipo mbali, kuna dirisha dogo la usajili pale.

Mimi nachoka na idadi ya majeruhi tu bana.
Nasri, Bendtner, Van Persie...
Hapo ndio kwanza ligi imeanza.
 
Nicklas hadi Dec 2010! Ila msihofu huyu anahitaji 6 clear chances kufunga ....! Nitamiss RVP
 
Pole sana kaka,
Tupo pamoja kwenye kumuuguza mgonjwa wetu huyu hapa ICU.
madaktari wanasema huenda 'vidonge na sindano' alivyopewa Almunia vitamsaidia mgonjwa wetu.
January haipo mbali, kuna dirisha dogo la usajili pale.

Mimi nachoka na idadi ya majeruhi tu bana.
Nasri, Bendtner, Van Persie...
Hapo ndio kwanza ligi imeanza.
We acha mkuu,dirisha dogo ndiolipo januari lakini kwanini tusubiri mpaka januari ambapo watu wanakaza buti kuangalia ubingwa sisi ndio tuanze kurekebisha makosa ya round ya kwanza?

Hayo majerui wachezaji Wenger anawalegeza sana ndio wanaumia umia hovyo.si umeona wakina fabregas na van persie alivyo jifanya kuwapumzisha kwa vile walifika faianali wakati wenzao wote walikuwa washaanza kukipiga matokeo yake sasa van persie yuko wapi?
 
Ligi mbovu hile its all about 2 teams.

sizungumziii kuhama mkuu nitaendelea na Arsenal mpaka mageuzi yatakapofanyika.Inaboa sana kuona timu ina ubovu eneo flani na timu ina uwezo wa kurekebisha lakini wanaamua kupuuza.

Mbona na ligi ya England pia ni timu mbili tu, Chelsea na Man United? The rest wanasindikiza the top two.
 
Umenifurahisa sana nilitaka andika hili nikaona jamaa watamsema vibaya Mchungaji!
 
ubahili wa wenger na mchezo wa kusubiri last minute umetuponza.

AW kumbuka Fulham walikuwa hawana manager until recently so timing was an issue; the deal could have been concluded earlier had Hodgson not left Fulham.

Coz angeshatafuta mbadala wa Shwarzer; but on Hughes' side pia kachukua timu too late which means hakuwa na muda wa kutosha vilevile kutafuta mbadala (thought he & Wenger do not like @ other I do not think kama angemuuzia)
 
Pole sana kaka,
Tupo pamoja kwenye kumuuguza mgonjwa wetu huyu hapa ICU.
madaktari wanasema huenda 'vidonge na sindano' alivyopewa Almunia vitamsaidia mgonjwa wetu.
January haipo mbali, kuna dirisha dogo la usajili pale.

Mimi nachoka na idadi ya majeruhi tu bana.
Nasri, Bendtner, Van Persie...
Hapo ndio kwanza ligi imeanza.

Man Utd majeruhi wao; Ferdinand, Haggreaves, Anderson, etc.
You know what they do not make a fuss about it; it's time we us Gooners start to do the same thing, not let injury play part in our performance.

Injuries are there in football, it's not how you deal with them, but it's how you live through them.
 
AW kumbuka Fulham walikuwa hawana manager until recently so timing was an issue; the deal could have been concluded earlier had Hodgson not left Fulham.

Coz angeshatafuta mbadala wa Shwarzer; but on Hughes' side pia kachukua timu too late which means hakuwa na muda wa kutosha vilevile kutafuta mbadala (thought he & Wenger do not like @ other I do not think kama angemuuzia)

Mkuu tatizo ni ubahili wetu kwani mambo yangeweza kumalizika mapema sana kama tungeongeza dau kufikia mil 4 .sisi tulitoa offer ya mil 2 may wao wakataka mil 4. Na ukiacha hio swala la kipa kwetu ni tatizo kubwa tumetoka nalo msimu uliopita sio kwamba la ghafla,kwa maana hio Wenger walitakiwa wajiandae kwa njia yoyote hile msimu huu kuleta kipa mpya hata kama sio Shwazer.

anyway mkuu ni kawaida yetu hio ya kusubiri last minute na safari hii haikuwezekana kutokana na sababu ulizozitaja hapo juu.
 
napenda washabiki wa arsenal wapo wawazi na wakweli wanakubali kuongea ukweli sio chelsea na mashabiki mamluki wameanza juzi abramovich kuichukua timu halafu wanajifanya wanajua rekodi yao hata kwa everton hawafikii,na si ajabu kesho chenge akinunua wigan,wigan nayo itapata mamluki,yani chelsea wanajiona wao bora wametumia mahela kibao,lakini champions ligi hawajachukua,liverpool na ubovu wao kutobeba ligi ya england toka inaitwa premier ligi(mara ya mwisho wamebeba 1990)lakini wamebeba champions ligi 2005 na hawajatumia mahela kama chelsea,real madrid wao wametumia mahela kombe wakabeba mara 3 ktk kipindi cha miaka mitano 1998-2002,chelsea watabakia udomokaya tu,siipendi na kutokana na mashabiki wake kuongea sana halafu wengi mamluki,kwanza england kirekodi ni man utd na liverpool nyie chelsea shindaneni na kina everton,spurs ndio saizi zenu,hata kwa arsenal sio saizi yenu wapo juu yenu 13 dhidi ya 4,tena mshukuruni mourinho maana toka 1955 mpaka 2005,mnaniudhi hadi naamua kuingilia mada sio na kutoa data kwa nyie washabiki viluweluwe hamuijui chelsea mmekuja na abramovich.
 
Mkuu gutierezi,ligi ya England ilianza kuonekana kwa wabongo wengi mwanzoni mwa miaka ya 90,sisi tuliokuwa tukiishi nchi jirani tulianza kuiona nyuma kidogo ya hapo, miaka hiyo ya mwanzo ya 90 ni miaka ambayo New Castle United nayo ilikuwa juu na ilikuwa na mashabiki lukuki na sababu ilikuwa Andy Cole na Les Ferdinand kwa vile ni weusi na mashabiki wengi walikuwa wanawapenda wale tena kwa kuwaita "Wamatumbi".Mashabiki wengi wa Gunners ni wale wale wa kuhamahama na wengi ni wepesi wa kukata tamaa tena wametokea hukohuko New Castle na wanaipenda Gunners sababu ina Wamatumbi wengi.Liverpool wao mashabiki wake ni stable(hapa nazungumzia waliopo hapa kwetu) hata wale Man U ni stable pia,japo kuna wale wa "mlipuko" walioingia 1999(nadhani unajua nini kilitokea mwaka huo)
Chelsea, wao ni "Money can buy You". Abraham bought everything,maana japo walikuwepo wachache,lakini walikuwa wanavuna mashabiki wakicheza na Hizi kubwa,yaani ilikuwa ni kama Mtibwa Sugar hapa kwetu. Nina wasiwasi Abraham akitoka wale wa kuja wataingia Gunners.
 
napenda washabiki wa arsenal wapo wawazi na wakweli wanakubali kuongea ukweli sio chelsea na mashabiki mamluki wameanza juzi abramovich kuichukua timu halafu wanajifanya wanajua rekodi yao hata kwa everton hawafikii,na si ajabu kesho chenge akinunua wigan,wigan nayo itapata mamluki,yani chelsea wanajiona wao bora wametumia mahela kibao,lakini champions ligi hawajachukua,liverpool na ubovu wao kutobeba ligi ya england toka inaitwa premier ligi(mara ya mwisho wamebeba 1990)lakini wamebeba champions ligi 2005 na hawajatumia mahela kama chelsea,real madrid wao wametumia mahela kombe wakabeba mara 3 ktk kipindi cha miaka mitano 1998-2002,chelsea watabakia udomokaya tu,siipendi na kutokana na mashabiki wake kuongea sana halafu wengi mamluki,kwanza england kirekodi ni man utd na liverpool nyie chelsea shindaneni na kina everton,spurs ndio saizi zenu,hata kwa arsenal sio saizi yenu wapo juu yenu 13 dhidi ya 4,tena mshukuruni mourinho maana toka 1955 mpaka 2005,mnaniudhi hadi naamua kuingilia mada sio na kutoa data kwa nyie washabiki viluweluwe hamuijui chelsea mmekuja na abramovich.

Bora umesema wewe mkuu.
 
Back
Top Bottom