Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Matokeo ya Leo yamepoteza unbeaten 22 matches,lkn kocha aingie sokoni ili azibe nyufa tulizo Max, pia majeruhi wanatu cost, aache kumuweka lacazet bench

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nilivojitoa CHAPUTA,
Tayar nimeama arsenal mimeamia liverpool

Huu ni upumbavu aiwezekani unakuja kwenye timu unaingiza beki zako ulizonunua nando zinaonekana hovyo kabisaaa

Sokrat.. sijui nilizeeee pumbavu kabisa na lile lenzake lililo assist match iliyopita tukasawazishwa ikawa moja moja. Wote wajinga

Ramsey center mildfilder kweli ulisha ona wapi?????
Mavi matupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nawe sio shabiki ..

Wewe ni takataka tu.

Umeona wap shabiki akihama timu atakama ikifanya vibaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mike oliver ashukuriwe kwa kuwabeba hawa livakuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwamba unadai Liverpool kabebwa lakini ile gemu chance ya arsenal kushinda ilikuwa ndogo sana.

Ukitoa izo penalties 2 matokeo yatakuwa 3-1 goli mbili za Firmino ni kama mliwazawadia tu Liverpool. Sidhani kama kuna yeyote England inaeza fungwa goli za kizembe namna ile..

Hii imedhihirisha kwamba Arsenal bado mna kikosi finyu sana na beki ni tatizo kwenu..

Mna hatari kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
55555555
55
55
55555555
55
55
55555555

Wazee wa unbeaten mmeamkaje hapa?

Nilishika makende zisije zile



888888
8 8
888888
8 8
888888

Za mzee fergie mnishukuru sana kama kuna muda mliniona namuomba klopp aanze kupunguza washambuliaji.
 
Just game let's focus in new one nafikiri mwalimu anamengi kajifunza so far na kufikia hapo atakua anaelewa vizuri kabisa weakness zake zote,

Inakera Sana but sijakataa tamaa najua Ni swala la muda tu Kama kreonke amelenga kuipandisha timu na kurudisha arsenal ile then tutaona January yenye hope.

Kwasasa siwezi muhukumu huyu jamaa nakumbuka vizuri klopp msimu wa kwanza alifanya hovyo Mourinho msimu wakwanza ilikua same pep pia so kawaida Sana Ni swala la muda tu so far kwangu huyu jamaa ni mtu sahihi Sana kwenye kikosi chetu just time na akubari kujirekebisha.

Ogopa mwalimu ambae anajiuliza kwanini umemfanga mwalimu anaetafuta sababu ya kufungwa aina ya kina klopp aina ya kina unai.

So far tumepoteza it's just a game let's Focus kwenye game ijayo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu sikumaanisha samhani
,ila hawa mbuzi wanaongea sana,utasema kila msimu kombe huwa wanachukua wao
Uwe na heshima unapotutolea matusi as if tumekutukana haipendezi.Halafu suala la kufungwa siyo kitu kigeni sana kwani hakuna timu ambayo haijafungwa.Unatuita mbwa, unatuita mbuzi hivi ni wapi umeona tumekutukana au kukutolea lugha chafu hadi uamue kufanya hivyo kama kutulipizia.
Kwa ufupi binafsi umenikera ila siwezi kukujibu kiudhalilishaji kama unavyotudhalilisha mashabiki wa arsenal. Timu ya liverpool imepitia wakati mgumu sana huko nyuma nafasi ya sita nk lakini hamkutukanwa.

Ifikie hatua jukwaa liheshimiwe hata kama unajua huwezi kufanywa chochote kwa matusi hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom