Ozil majeruhi angechezaje,pia siku zote alipopata matokeo mazuri iwobi alikuwa akianza baadaye wanabadilishana na lacazette. Tatizo kuu ni uwingi wa majeruhi wa nyuma deffender hasa beki ya kati na huku nyuma kushoto.
Hata kama foward watafunga huku nyuma kuko wazi mno.
Nadhani ni muda muafaka wa kutafuta beki kiungo mmoja na winga ya kushoto.Alipofika kocha alijaribu kutafuta beki lakn bado beki hizo zimepwaya hivyo anatakiwa kuingia sokoni tena.
Tumeanza kufunga goli lakini hatuna uwezo wa kuzuia beki hakuna.
Ni hali ya mchezo tunawapongeza liverpool lakini bado tunaamini ktk kurekebisha makosa na kushinda.
We are the GUNNERS forever.
Sent using
Jamii Forums mobile app