MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Hayo ni maoni yako ya kihisia tu.Timu ina majeruhi wengi beki that's why tunafunga lakini magoli yanarudi kwa kuwa ukuta ni mbovu. Tungekuwa na ukuta imara liverpool walikuwa wanafungika vizr tu. Ni matokeo tuHilo halitokaa litokeee kwa sababu malengo ya wenye share zao ni faida na si makombe. Kwa sasa timu inaendeshwa kwa gharama ndogo ukileta wachezaji wenye viwango utalazimika kuwalipa mshahara mkubwa kitu ambacho wenye timu hawapendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
We are the GUNNERS forever.
Sent using Jamii Forums mobile app


