Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Nadhani hili neno Hata hukuwahi kulimaliza kuliandika mambo yakabadilika




Football has three outcomes, arsenal left with one option 3 pointsView attachment 980625
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani waliokuwa wa kwanza kufungwa ni nani. Kwani kama beki ikiwa imara hawawezi kuzuia na matokeo yakabaki hivyo. Shida kubwa ni kuona unajua wakati uko shallow.
mkuu povu lote la nini?panbana na tu yako nyie watu mnakera sana,leo yamewakuta mnajitia kutia huruma,mbwa au mbuzi wala sio tusi ni tafsiri yako,probided kwamba hao bibe tunaishi nao majumbani sioni kama ulitakiwa kukasirika kiaso hicho..Uwe na heshima unapotutolea matusi as if tumekutukana haipendezi.Halafu suala la kufungwa siyo kitu kigeni sana kwani hakuna timu ambayo haijafungwa.Unatuita mbwa, unatuita mbuzi hivi ni wapi umeona tumekutukana au kukutolea lugha chafu hadi uamue kufanya hivyo kama kutulipizia.
Kwa ufupi binafsi umenikera ila siwezi kukujibu kiudhalilishaji kama unavyotudhalilisha mashabiki wa arsenal. Timu ya liverpool imepitia wakati mgumu sana huko nyuma nafasi ya sita nk lakini hamkutukanwa.
Ifikie hatua jukwaa liheshimiwe hata kama unajua huwezi kufanywa chochote kwa matusi hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hodi hodi humu ndani jogoo nimeingiaHao liver hata washinde games 38 zote ,amin hawabebi epl ,
Pigaaaaaaaa izi mamamaaaaaa
Zinatamba sanaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie takataka tu ..mnawapa Liverpool maujiko..
Goli mbili za Firmino ni kama mmewazawadia Liverpool.
Bora mje mcheze ligi ya wanawake uku bongo.
Hamna maana kabisa.
Pumbavu Unai Emery..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumlinganisha KANTE na TORRORI ni dhambi kwa mungu mkuuDon’t ever Compare Torreira to N’Golo Kante ever again. Ever.
Kupoteza moja haimfanyi mchezaji awe mbovu huyo torreira hapo liver hakuna kiungo wa kumfananisha nae Auba nae yuko level ya magoli na salaah so unabwabwaja niniVipo mzee Wa TORREIRA na AUBA?
Naona Firmino kamgeuze Kondoo TORREIRA 😀 😀 anamlisha nyasi bila ya huruma 😀😀
Eti TORREIRA ni kiungo bora EPL !!!! Arsenal B hana 😀😀
Nadhani Firmino ameshawapa jibu kuwa TORREIRA is shit.
Unatakiwa umquote aliyekutukana hiyo si lugha ya binadamu.mkuu povu lote la nini?panbana na tu yako nyie watu mnakera sana,leo yamewakuta mnajitia kutia huruma,mbwa au mbuzi wala sio tusi ni tafsiri yako,probided kwamba hao bibe tunaishi nao majumbani sioni kama ulitakiwa kukasirika kiaso hicho..
umenifurahisha kuna jamaa angu katoka kuwa mshabiki wa man u kahamia liverpool mwaka jana,nikamwambia atakuwa amevunja record ya dunia mshabiki atoke man u ahamie liverpoolKama nilivojitoa CHAPUTA,
Tayar nimeama arsenal mimeamia liverpool
Huu ni upumbavu aiwezekani unakuja kwenye timu unaingiza beki zako ulizonunua nando zinaonekana hovyo kabisaaa
Sokrat.. sijui nilizeeee pumbavu kabisa na lile lenzake lililo assist match iliyopita tukasawazishwa ikawa moja moja. Wote wajinga
Ramsey center mildfilder kweli ulisha ona wapi?????
Mavi matupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunabwabwaja 5-1Kupoteza moja haimfanyi mchezaji awe mbovu huyo torreira hapo liver hakuna kiungo wa kumfananisha nae Auba nae yuko level ya magoli na salaah so unabwabwaja nini
HAO MAGLORY HUNTER MKUU,HUWAGA WANA SLOGAN YAO MOJA INASEMA "TIMU SIO KABILA"umenifurahisha kuna jamaa angu katoka kuwa mshabiki wa man u kahamia liverpool mwaka jana,nikamwambia atakuwa amevunja record ya dunia mshabiki atoke man u ahamie liverpool
Matokeo ya Leo yamepoteza unbeaten 22 matches,lkn kocha aingie sokoni ili azibe nyufa tulizo Max, pia majeruhi wanatu cost, aache kumuweka lacazet bench
Sent using Jamii Forums mobile app
umenifurahisha kuna jamaa angu katoka kuwa mshabiki wa man u kahamia liverpool mwaka jana,nikamwambia atakuwa amevunja record ya dunia mshabiki atoke man u ahamie liverpool