Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eldesmarque (Spanish Newspaper):

Unai Emery has made it clear. He wants Éver Banega for January. An interest that is not new, because #Arsenal already asked for him last summer.
FB_IMG_1546006186261.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanangu na London kesho ni ushindi acheni ujingaaa

Msiliaibishe jiji la London mazee..

Sisi majirani hatutowaangusha tutakuwa pamoja na nyinyi kwa sakina zote tisini na za nyoongeza.

Ila mkipigwa tunawakataa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanangu na London kesho ni ushindi acheni ujingaaa

Msiliaibishe jiji la London mazee..

Sisi majirani hatutowaangusha tutakuwa pamoja na nyinyi kwa sakina zote tisini na za nyoongeza.

Ila mkipigwa tunawakataa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Bora hata usiwe upande wao, tangia ligi imeanza kila upande uliopo wewe against LFC haujapata matokeo kama ambavyo itakua hapo kesho
 
hahahahahah
Write your reply...Washika ukuta wa London bwana kwa kujisifu
yaani kama wewe unaushika ukuta huko unguja ndio unafikiri wote ndio walivyo mkuu?wewe endelea kushika ukuta huko unguja yakheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee sisi huku twaenda kuchana bikra ya mtu
 
Aliyemtoa Arsene Wenger nchini Japan na kumpa mkataba wa kuinoa Arsenal afariki dunia



Aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya Arsenal kwazaidi ya miaka 30, Peter Hill-Wood amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82.


Hill-Wood aliingia kwenye bodi ya Arsenal mwaka 1962 na kupata nafasi ya mwenyekiti mwaka 1982 nafasi aliyoitumikia mpaka 2013 na kuachana nayo kufuatia kuanza kusumbuliwa ugonjwa wa shinikizo la moyo.


Maamuzi yake ya kwanza baada ya kupata nafasi ya mwenyekiti alimuajiri Arsene Wenger kuwa meneja wa timu hiyo mwaka 1996 akimchukua kutoka Japan, chaguo ambalo lilipingwa na watu wengi kwa wakati huo kabla ya Mfaransa huyo kuwaonyesha uwezo wake na kupata mafanikio makubwa.


Wakitoa taarifa ya kifo chake klabu hiyo imesema ‘’ Kwa majonzi makubwa wanatoa taarifa ya kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa timu hii Peter Hill-Wood,’’ imesema Arsenal.

Taarifa hiyo imeendelea ‘’Tukiwa tunasherehekea miaka 100 ya mafanikio msimu huu, familia ya Hill-Wood inapenda kuelezea tulipotoka, umoja na mabadiliko ya sasa kwenye soka la Uingereza,’’



Sent using Jamii Forums mobile app
 
k
Naskia kola kapata majeruhi sina uhakika lakin...kikukweli kwa huu moto wa liver chupu yetu ni 3....

Sent using Jamii Forums mobile app
olasinac alikuwa anachechemea siku ile game ya brighton na alikuwa anacheza kwa woga sana ila taarifa ya timu haijamjumuisha katika majeruhi lakini pia jina lake halikuonekana katika list ya wachezaji watakaosafiri na timu kwenda anfield ila naamini huweza ikawa ni typing error tu jamaa atakuwepo ngoja tufuatilie taarifa kamili
 
k

olasinac alikuwa anachechemea siku ile game ya brighton na alikuwa anacheza kwa woga sana ila taarifa ya timu haijamjumuisha katika majeruhi lakini pia jina lake halikuonekana katika list ya wachezaji watakaosafiri na timu kwenda anfield ila naamini huweza ikawa ni typing error tu jamaa atakuwepo ngoja tufuatilie taarifa kamili
Jamaa yupo mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1546023344823.png
shkodran leo amepiga tiz na wenzake so kuna matarajio jamaa kesho atakuwepo katika kikosi kitachopambana na liverpool
 
Back
Top Bottom