Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nawakumbusha tu kuwa Manchester United leo anashinda nyingi na kufikisha Points 35 ambazo atahitaji Points 3 awapite nyinyi.

Nafasi Yenu Halisi ni ya 6
 
Nawakumbusha tu kuwa Manchester United leo anashinda nyingi na kufikisha Points 35 ambazo atahitaji Points 3 awapite nyinyi.

Nafasi Yenu Halisi ni ya 6
Mkuu huyu A5 (THE GONO) akikaa hovyo wolves anamuweka wa 7 maana kwa man u apende asipende atapitwa tu

Time will tell

Wakenya 5 jana wamekamatwa wanataka kujinyonga kesi zao zinaendelea huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawakumbusha tu kuwa Manchester United leo anashinda nyingi na kufikisha Points 35 ambazo atahitaji Points 3 awapite nyinyi.

Nafasi Yenu Halisi ni ya 6
Ni rahisi sana kusema hivyo lakini siku zote hakuna timu inayoshikwa na kocha mpya ikaanza na matokeo mabovu. Man United bado sana wala msijivune kumpita arsenal still bado ingawaje mwaweza ingia top 4 lakn siyo kirahisi hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha.. Mmeshaanza kuwanga.

Leicester aliyemfunga City na aliyetufanga sisi nyumbani jana kafungwa kwake na Cardiff.

Haha mpira bwana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Crystal Palace asikutishe bhana ana point zangu tatu

Sent using Jamii Forums mobile app

Game yenu hii nahiari nikose kula lakini si kukosa kuiangalia Coz najua Faraja ipo tu hapa 😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom