Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umakini ilikuwa tatizo nadhani kukosekana kwa carzola ni Shida sana mesut anakuwa anapata shida sana kucheza kwa uhuru
 
Tunatarajia ushindi mkuu

upload_2016-11-6_13-12-45.jpeg

Mentor jifurahishe sasa hivi, next few weeks mtarudi mlipotoka.

410e1b3fd62160ad7358de0711d227e7.jpg

Tumemiss a really big chance ya kuwa kileleni considering Liverpool na Utd wanashinda mechi zao za leo. Gundu la November limeshakita kisigino. Anyway up to the next game against manyang'au wa Old Trafford. Msimu huu Arsenal wanacheza vizuri Away kuliko Emirates, nategemea ushindi Old Trafford.

upload_2016-11-6_13-14-58.jpeg

Arsenal ameanza kuingia kweny siku zake.

upload_2016-11-6_13-15-33.jpeg

Too many games ahead. Liverpool, Chelsea watapoteza a good form at some point. Ngoja hii nuksi ya November ipite. I take 5 points from our November games Spurs, Manchester United & Bournemouth if given yesterday.

images

Haikuwa penati kabisa ile basi tu refa kawabeba tayari.

upload_2016-11-6_13-19-29.jpeg

Gunners hit the buffers today. Totts walikuja na kujiandaa ku-defend, vile vile refa kama kawaida yake kuwabeba. Hata hivyo Prof alikosea kuwapa huu mchezo wachezaji wengi ambao hawajawahi kucheza kwenye derby kali kama hii especially Iwobi ambaye leo alipwaya sana kutokana na presha from passing and in front of the goal.

Alexis hakuwa kwenye form na aliandamwa kila alipokuwa ana mpira. Well it wasn't a must win game tutakwaana nao tena nyumbani kwao and this time around tutakuwa tumejiandaa kwa formation yao.

upload_2016-11-6_13-21-52.jpeg
 
Mkuu shukuru Mungu hawa jamaa hawapo sissoko , dele ally,lamela (Kane,walker hawapo 100 fit) spurs sio wa mchezo mchezo
Mashabiki wa arsenal wote ni chicken head, kila mwaka wanawaza ubingwa alafu baadae wanapoteana.

Ngoja nitafute post za mwaka jana hasa walipomfunga bayern uefa
 
Mkuu shukuru Mungu hawa jamaa hawapo sissoko , dele ally,lamela (Kane,walker hawapo 100 fit) spurs sio wa mchezo mchezo
na bila spur kujifunga si ajabu hata hilo goli moja wasingelipata.
 
Kukutoa hofu mkuu, Ozil tangu apate jeraha la goti msimu ulopita amekuwa makini sana katika aina ya uchezaji asijepata majanga. jaribu kumfuatilia utagundua hakazi sana na hujitahidi kutoa pasi mapema sana kabla 'adui' hajamkaribia karibu. kiufupi amewahi sana kufaulu mtihani wa kuisoma ligi ya EP.

Kwa upande wa Chambers hata Mimi niliridhishwa na kiwango alichoonesha Jana. Na hii imekuwa Ni kama culture ya arsenal kutembelewa na Bahati ya kuinua vipaji pale wanapopata tatizo mchezaji wa kikosi cha kwanza akipata majeraha. ukianzia kwa Coq, Campbell, Bellerin na sasa chambers anaonekana atakuwa na wakati mzuri kuonyesha talenti aliyonayo na hatimae kuaminiwa. Cha muhimu aendelee kupata nafasi ya kucheza ataiva na kuwa mtamu balaa.
Yote kwa yote kombe li mikononi Mwa Aseno Ni wao kujitoa kupambana. wazungu wanasema 'It's now or never'. Kila la kheri
So its NEVER au?

Naona tunaweza kumaliza mwaka tukiwa juu. Msimu huu tusipoondoka na makombe 3 nitauza Bajaj yangu.
Ile bajaji ulimuuzia nani mkuu? Au mkoPoka?

I hope humaanishi unalolisema.

Cl Barca unamtolea wapi!?
kikombe cha chai tulishatolewa.
Tunabaki na FA na EPL by which FA haitabiliki inategemea umeamkaje siku hiyo. Ukiamka vibaya watoto wanachezea shwarubu tu.
EPL ni marathon subiri subiri tuimalize February kisha pima maneno yako kama ubavu upo au ndo yale yale ya miaka hii 11 ya kukikosa. Ikifika February baiskeli yetu ya barafu joto likizidi inayeyuka mwisho wa safari tunaanza kutembea kwa azimio la Arusha kumalizia Safari
Inawezekana hata mwaka huu mkatembea kwa azimio la arusha eti mkuu?

k

Barcelona atakalishwa tu. Tutawawashia moto kama serikali ya Magufuli inavyowawashia watu wa TRA na Bandarini.

Nachukia kuota mchana.

Nakuacha uendelee kuota na sitakuamsha hadi umalize ndoto yako.

Kifupi Arsenal hatuna team ya kutunishiana misuri na miamba ya ulaya iliyo kwenye 16 bora.

Wametuacha mbali sana. Ligi tu ya EPL jasho linatutoka sembuse ulaya.

Achaneni na kuota ndoto ngumu ukaishia kupata msongo wa mawazo bure.
Waambie hao.

Arsenal thread imepata piers morgan mpya....
Kwiiii kwiiiiii kwiiiiii inawezekana morgan anasemaga ukweli,

Kama unaona wenger na bodi nzima ya arsenal inakukera hama timu
tapatalk_1478501612443.jpeg

kwani mama yako au baba yako Arsenal
mbona mi naipenda na matokeo yake kama ilivyo

Leicester hajabeba ubingwa bado na hatoweza.....

kwa Taarifa tu....tulifika christmass 2007- 2008 tukiwa na 43 points baada ya game 18 bila kufungwa game yeyote mpaka muda huo kwa kikosi hicho hicho cha kuunga unga unachosema na financial Constraints ziko mbele yetu

eduardo akavunjwa mguu pale birimingham msimu ukaisha....

ikiwa suala ni kuwa Top christmass we have been there once tena convicingly

Leicester the defending champion.
Top of the league in 2015..... COYG!!!!!!!
At the end ilikuaje?
Mwaka huu wetu..COYG...............
Hata hizi ni siku zenu.
Tunabeba trophy msimu huu, Nani anaibisha! ? Hao waliospend money wako wapi? Arsenal kinachotucost mara nyingi ni majeruhi! Lakini msimu huu wetu!
Ni kweli mlibeba
#chickenhead#
huyu @MkoPoKa akiwa rafik yako huwez kufungua hata mradi wa karang...the guy is too pessimistic
Chungu lakini dawa.
Oya! Kuna chochote positive unakiona kwa The Gunners? Nimeona komments zako, nenda barcelona Fc, itakufaa angalau kwa sasa.
Mbona umepotea jukwaani bandugu?
 
Nimeacha kushangilia Arsenal hadi WENGER aondoke... msinitafute wala kuniuliza maswali wala sitaki mu-quote hii post au ku-like. See you in the future ahem
Ni post [HASHTAG]#47716[/HASHTAG] december ya february august huko, toka hapo sijakuona tena jukwaani
 
Ni post [HASHTAG]#47716[/HASHTAG] december ya february august huko, toka hapo sijakuona tena jukwaani
For future reference ukiona mtu ameandika "ahem" baada/katika ya sentensi yoyote ile ujue alichoandika /kusema ni a joke you shouldn't take what was said serious . Ahem ni ishara ya kujikohoza kimatani. Sikuwa serious(I was joking )
Cc Belo
 
For future reference ukiona mtu ameandika "ahem" baada/katika ya sentensi yoyote ile ujue alichoandika /kusema ni a joke you shouldn't take what was said serious . Ahem ni ishara ya kujikohoza kimatani. Sikuwa serious(I was joking )
Cc Belo

Naona tunaweza kumaliza mwaka tukiwa juu. Msimu huu tusipoondoka na makombe 3 nitauza Bajaj yangu.
ahem
 
Nashindwa kuelewa hawa anti Arsenal yaani kutoa draw vs Spurs kumewapa la kuongea as if tumefungwa. Kumbukeni ilikuwa ni NLD match, derby yenye ushindani (within a town) kuliko zote EPL , pia Spurs hawakuja hawakutaka wapoteze two games in a row (Ref UCL defeat ), vile vile Arsenal is just 2 points behind Liverpool after only 11 games played. Mnachonga as if tupo 8/6 points behind. Anyway if that can put you to sleep I guess it's okay ...lol

CC Legeza mwendo
 
Tatizo mmekua waongo kupindukia, kila mwaka mnatuambia lazima tuwe mabingwa lakini hatuoni kitu, mwanangu aliyezaliwa kipindi mnachukua ubingwa mara ya mwisho kishamaliza darasa la saba mwakani atakua form one
 
Hawawezi pata usingizi they wont feel sleepy ilo wazi kuwa so far arsenal inawanyima usingizi
 
Tatizo mmekua waongo kupindukia, kila mwaka mnatuambia lazima tuwe mabingwa lakini hatuoni kitu, mwanangu aliyezaliwa kipindi mnachukua ubingwa mara ya mwisho kishamaliza darasa la saba mwakani atakua form one
Hizo ni hopes mkuu. Waziri mkuu aliwaahidi atahamia dodoma September na bado hajatekereza ila hatukusikii ukimuuliza
 
Back
Top Bottom