McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
It's over hapa emirates
Arsenal 1-1 Chicken
Arsenal 1-1 Chicken
If wishes were horses...COYGs, tunataka leo tuwe juu ya msimamo wa ligi.
Honestly, Arsenal mlikuwa mnatarajia nini kwa mfano!??That's it na Arsenal wanaendelea kushika nafasi ya 3 huku Liverpool wakiwa na nafasi ya kushika usukani baadae leo jioni.
Inaonekana bado kale kaugonjwa ka mwzi November kapo around.
Si matokeo mabaya.
Honestly, Arsenal mlikuwa mnatarajia nini kwa mfano!??
Sababu sio subs wala defending yetu, sababu kubwa ni spurs are a good team kwa sasa. The only tema kutofungwa, kuruhusu magoli matano tu hadi sasa wanaonyesha kuwa ni wazuri, japo iwobi angekuwa clinical tungeshinda hii game.Sina matumaini na ushindi or draw sasa. Hizi sub zetu sioni goli na defending nzuri
Clattenburg michosho sanaRefa anachuki na nyie simpendi hata mie huyu Ref japo nataka arsenal afungwe.
Mourinho akiongea ukweli huwa mnampondaClattenburg michosho sana