Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana Jirani laana zako zitupite mbali nasi.....

Hapana sio laana....Stability ni mchakato wa muda mrefu kiasi na hapa nazungumzia STABILITY

kufukuza fukuza huku mnakotaka kuingia hilo chaka ndo mtakosa hata hiyo stability saivi wengine wanasema bora tungebakia na Moyes, na chaka lingine mmeingia ni kununua Ovyo, mnajaza new faces mnadhani kuwa kujaza wengi ndo kupata matokeo na hii sio sawa vile vile

Ila mshinde kwanza leo LVG abakie aimarishe philosophy kwa kocha ajaye sawa?
 
Wakuu habari za jioni.

Leo Arsenal wanawafunga Bournemouth na mpaka sasa wanaongoza kwa goli 2-0

Timu iloanza ni karibu na ile niliyoipendekeza jana na Kipa ni kama kawaida Cech, Gabby akaanza nyuma akisaidiwa na Per Mertesacker, kushoto Gibbs na kulia Berrelin. Katikati Calum Chambers na Ramsey, pembeni akaanza Walcott na Chamberlain na mbele Olivier Giroud na Mesut Ozil

Magoli yamefungwa na Gabby baada ya pasi ya Ozil na goli la pili limefungwa na mastermind mwenyewe Mesut Ozil.

Dakika zimebakia 10.
 
Safi sana
 
Habari ingine ni ya kuthibitisha mazungumzo kati ya Arsenal na klabu ya Basel ya Uswiss, kuhusiana na usajili wa Mohamed Elnany ambae ni mchezaji wa kiungo wa kimataifa wa timu hio na timu ya taifa ya Misri.

trophy.jpg

Mohamed Elnany.

Habari hio niliileta hapa siku chache zilizopita na inazungumzwa kutakuwa na malipo kama ya paundi milioni 5 hivi.

Habari hiyo sasa ipo katika kila chombo cha habari ulimwenguni ikiwemo BBC sports.
 
Wakuu game limeisha na Arsenal wapo juu ya msimamo wa ligi wakingojea kesho kama watashuka endapo Leicester itashinda kule uwanja wa Etihad.
 
Oppsssss finaleee tunaingia mwaka mpya tukiwa na nyota flani ya ubingwa, keept it up Gunners
 
Hapana sio laana....Stability ni mchakato wa muda mrefu kiasi na hapa nazungumzia STABILITY

kufukuza fukuza huku mnakotaka kuingia hilo chaka ndo mtakosa hata hiyo stability saivi wengine wanasema bora tungebakia na Moyes, na chaka lingine mmeingia ni kununua Ovyo, mnajaza new faces mnadhani kuwa kujaza wengi ndo kupata matokeo na hii sio sawa vile vile

Ila mshinde kwanza leo LVG abakie aimarishe philosophy kwa kocha ajaye sawa?
Haya maombi yako yamefika......

Hongereni kwa ushindi mmekuwa top of the league...... @Wacha 1 ufufuke sasa leo mmeshinda njoo tupige mapicha picha....
 
Kweli mapenzi upofu aisee,

Point of correction: mwaka Jana Moyes alikua sociedad man u alikuwepo van gaal.

Yaani leo hii arse8 ndio amekuwa wa kumcheka man u? Kisa kuwa wa pili kwenye ligi? Unakumbuka 2007/08? Hadi February mpo kileleni kwa point tano, mbele mna RvP na adebayo, fabregas na flamin cm, rosicky na hleb wingers, mlikua na kelele zaidi ya sasa, alipoumia Eduardo tu ndio ukawa mwisho wenu.

Leo mpo nyuma ya Leicester kwa point mbili city mnamzidi point moja zile kelele zimerudi tena.

Man u haijafika hata nusu ya miaka mliokaa nyie bila kombe (9) lolote, mmeshaanza mbwembwe zenu,

time will tell.
Ila tukiongea stability kati ya Arsenal na Manutd kwa sasa, Arsenal is on the ascendency, Manutd on the descendency, simple and clear!
 
Wakuu game limeisha na Arsenal wapo juu ya msimamo wa ligi wakingojea kesho kama watashuka endapo Leicester itashinda kule uwanja wa Etihad.
Ozil is oozing pure class! Na Chambers jana sijaamini alivyopiga DM iliyoenda shule.kwa mchezo wa jana, ni mzuri zaidi ya Flamini kwa sasa!
 
2ombe Ozil amaintain asiumie. Maana akipata janga yule sasa Arsenal itakuwa ktk hali mbaya mnooo.
 
Hii team imejaa wachezaji wenye bahati tu ya kuchezea team kubwa. Ukiondoa Sanchez, Ozil, Carzola, Cech na kwa mbali Koku, wengine they just adding up numbers.

Hawakui kisoka, hawafundishiki wakabadilika, they just adding up Numbers.

Theo jana alikuwa na assist 4 ambazo alitakiwa kuzitendea haki but he screwed it up.

OG had 3 but his control let him down.

You cant win tittle big ones with OG Theo Campbell as ur attacking focal point.

We will end up short again if fortunate be the second best as always happens. CL second in the group, EPL second in the standings
 
Ozil is oozing pure class! Na Chambers jana sijaamini alivyopiga DM iliyoenda shule.kwa mchezo wa jana, ni mzuri zaidi ya Flamini kwa sasa!
Kukutoa hofu mkuu, Ozil tangu apate jeraha la goti msimu ulopita amekuwa makini sana katika aina ya uchezaji asijepata majanga. jaribu kumfuatilia utagundua hakazi sana na hujitahidi kutoa pasi mapema sana kabla 'adui' hajamkaribia karibu. kiufupi amewahi sana kufaulu mtihani wa kuisoma ligi ya EP.

Kwa upande wa Chambers hata Mimi niliridhishwa na kiwango alichoonesha Jana. Na hii imekuwa Ni kama culture ya arsenal kutembelewa na Bahati ya kuinua vipaji pale wanapopata tatizo mchezaji wa kikosi cha kwanza akipata majeraha. ukianzia kwa Coq, Campbell, Bellerin na sasa chambers anaonekana atakuwa na wakati mzuri kuonyesha talenti aliyonayo na hatimae kuaminiwa. Cha muhimu aendelee kupata nafasi ya kucheza ataiva na kuwa mtamu balaa.
Yote kwa yote kombe li mikononi Mwa Aseno Ni wao kujitoa kupambana. wazungu wanasema 'It's now or never'. Kila la kheri
 
Hii team imejaa wachezaji wenye bahati tu ya kuchezea team kubwa. Ukiondoa Sanchez, Ozil, Carzola, Cech na kwa mbali Koku, wengine they just adding up numbers.

Hawakui kisoka, hawafundishiki wakabadilika, they just adding up Numbers.

Theo jana alikuwa na assist 4 ambazo alitakiwa kuzitendea haki but he screwed it up.

OG had 3 but his control let him down.

You cant win tittle big ones with OG Theo Campbell as ur attacking focal point.

We will end up short again if fortunate be the second best as always happens. CL second in the group, EPL second in the standings

What about Bellerin, talk about Lauren Kosienly, talk about Nacho monreal, Aaron Ramsey? na hawa ni Mediocre?

Are you serious? Asee you sound like Piers morgan in disguise
 
Last edited:

Ramsey, K6, Nacho they are good squad players they are not at that level. Hector is exceptional he is growing up quit well and if his progress is not deltered he will be our own Cafu but for now he is developing.
 
Back
Top Bottom