Khe khe khe khe khe khe khe khe.......nisamehe nimeku-quote.....nimeshindwa kuvumilia!Nimeacha kushangilia Arsenal hadi WENGER aondoke... msinitafute wala kuniuliza maswali wala sitaki mu-quote hii post au ku-like. See you in the future ahem
unataja kumuua mshikaji ...yani ahamie man u tena??ni bora ahame ligi kabisa...Anakaribishwa chama kubwa Man United.
Hivi ikatokea mmechukua ubingwa msimu huu utashangilia ?Nimeacha kushangilia Arsenal hadi WENGER aondoke... msinitafute wala kuniuliza maswali wala sitaki mu-quote hii post au ku-like. See you in the future ahem
we nenda kabet then utaelewa nini namaanisha...nakuwa ckuelew ukiniambia jumatano nitaliwa unamaanisha ARSENAL atamfunga BARCA
mkuu mimi ni mwana blaugranawe nenda kabet then utaelewa nini namaanisha...
ndo kawape sasamkuu mimi ni mwana blaugrana
Ahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!Nimeacha kushangilia Arsenal hadi WENGER aondoke... msinitafute wala kuniuliza maswali wala sitaki mu-quote hii post au ku-like. See you in the future ahem
Mashabiki wa Arsenal bhana!![]()
![]()
![]()
![]()
kama watford mmemshindwa mtaiweza CATALONIA mkuu hebu acha kuota ndoto za majinamizi kama WENGER