Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii issue ya pesa imekuwa kisingizio kwa wafuasi wa Wenger kutobeba ubingwa,Arsenal mara nyingi wamekosa ubingwa kwa approach ya Wenger kwenye mechi nyingi hasa big mech siku hizi ameanza kubadilika ndio maana anashinda.Wachezaji wengi wanaofanya vizuri sasa Monrel,Berelin,Coq,Carzola,Ramsey,Walcot,Giroud,Per, wote hawa wamenunuliwa kwa hela ya kawaida

Sababu nyingine timu pinzani (Man United,Man City,Liverpool,Chelsea )zimekuwa zinabadilisha makocha kila baada ya misimu 2 na kutokuwa stable while yeye yupo siku zote ni advantage kubwa sana kwa Wenger

ni moja ya sababu, sababu nyingine ni je ambition ya Ubingwa WALIKUWA NAYO au danganya toto?

kuna kipindi wenger alikuwa akisema wazi TOP FOUR IS LIKE A TROPHY (hakuwa na lango nje ya Top four yule)

na last season alikiri kuwa Hawakuwa wakichallenge ubingwa japokuwa walikuwa wakiwambia fans hivyo
 
Wenger huwa anasema hayo maneno katikati ya msimu baada ya kuona hakuna uwezekano wa ubingwa.Still sikubaliani na hicho kisingizio cha kujenga uwanja so timu isipiganie ubingwa.

Msimu huu Arsenal wamespend kiasi gani while pesa wanayo
Its clear kabisa kuwa Arsenal wanahitaji striker na back-up ya DM

Wachezaji wengi sana wameimprove (Berelin,Monreal,Giroud,Per,Coq,Walcot,Carzola) hii imeisaidia sana timu.Sijaona impact ya hizo fedha msimu huu
 
Kama target waliweka iwe Top 4 wao we hata husipokubaliana haisaidii

Endelea kutokukubaliana maana ni opinion tu lakini Mabingwa Wote waliopita wame spend Crazy money isokuwa Manure peke yake na hiyo ni exception ya uwepo.wa Fergie pale now he is gone mmeona bora muanze tu kumwaga NOTI (£250mil).....msimu huu ubingwa tunabeba mambo yakienda sawia, murua

Suala la DM anatangazwa tarehe 1 january 2015 Mohamedy El nenny kutoka FC BASLE

hao wachezaji unaowataja wamekaa muda sasa Arsenal kama miaka 3 kwa minimum hiyo ndo Stability tunayosema
 
Makombe 3 ? you are too optimistic my friend

ubingwa ulivyo ni marathon (mbio ndefu) mpaka mwezi wa 3 unakuwa na picha kamili ni akina nani wako katika Contention ya kuubeba sio December weka akiba ya maneno muzee

Hapa ndipo ninapokukubaligi yaani huwa unaongea ukweli.....
 
Tunabeba trophy msimu huu, Nani anaibisha! ? Hao waliospend money wako wapi? Arsenal kinachotucost mara nyingi ni majeruhi! Lakini msimu huu wetu!
 
Home guys .... .... ...... the Gunners natumaini wote mlisheherekea sikukuu kwa mambo bam bam na sherehe murua kabisa za X-Mass na boxing day ... kwa wale tuliosafiri na kurejea kama ada sasa tunaangalia mwaka mpya maana leo ndio ile funga mwaka inaanza na kesho panapo majaliwa ndio zile sherehe za kukaribisha mwaka mpya kama jadi Sydney - Australia ndio wanakuwepo kwenye picha zaidi ikifika midnight then kuna miji kadhaa in order ... .... London .... ..... .. then Big apple ..... ... .wengine wamesingiziwa tu. Je, Dar mtoni mwaka huu itawaka JF? Stay tuned.

Nasikia kuna wanoko oooooops Mburukenges ati walikuwa wana sherehe humu tulipopoteza point 3 kule Saint Mary, OK fair and fine mcheza kwao hutuzwa hatukusema mwaka huu tutakuwa invisible .... .... goood for them kwa sababu walikuwa wako kwenye hatari kama Chelsick , new Castle et al. Tutajipanga upya na kivingine kwa sababu wamekuwa wakitusunbua sana hasa tunapokwenda kucheza kwao, mtakumbuka mwaka jana walituchapa 2 mtungi na ndio golikipa aliyekuwa anavuta sigara akapata adhabu. EPL ni marathon hivyo hesabu zote zinafungwa mwezi May. Tunawachubiri Emirates maana hapo ndio tutafahamu zipi ni mbivu. ..... Kama ada I'm back ..... .... .... Ding ..... Dong. COYG
 
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee @Wacha mambo yako weweee!!! Halafu usiwe unakimbia mambo yakiwa magumu halafu unakuja kukipoa ,usiwe unatususia Jukwaa bana.......Hongera kwa kuwa top of the league
 
Dah yaani niwe namuwaza everlenk wakati wa sikukuu, ujue mimi wakati wa X-mass lazima niwe na family ie extended family .... ..... .. Wacha ngebe, then nikimbie kisa tunacheza na Southampton? Khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie!

BTW sijaangalia table mpo nafasi ya ngapi? Nachikia zile sauti za Van Gaffe out zimeongezeka khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
02_29223733_6aa007_2620386a.jpg

Nasikia Chelsick bado wana usongo .... ... . . khe khe ke khe khe kheeeeeeeeeee
 
gun__1450779374_569697869DP020_Arsenal_v_Ma.jpg

Ozil kama kawa atatutoa kidedea ... ... .. .. Ding ... Dong

gun__1450422208_POTD.jpg

Alexis yupo njiani kurejea .... .... target FA cup tarehe 8 Jan ... .
 
Wacha warudi tupumzishe hawa wa kiwango cha kati wanaitesa mioyo kwa presha. Unaangalia game unaogopa boko linatokea saa ngapi.
Unashika naniliu mwanzo mwisho wa game.
 
Dah yaani niwe namuwaza everlenk wakati wa sikukuu, ujue mimi wakati wa X-mass lazima niwe na family ie extended family .... ..... .. Wacha ngebe, then nikimbie kisa tunacheza na Southampton? Khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie!

BTW sijaangalia table mpo nafasi ya ngapi? Nachikia zile sauti za Van Gaffe out zimeongezeka khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha fix weee ndo umeona unijie na gia hiyo eeeehhhhh next time nitakufata mpka ulipo nikurudishe humu....

Wala usiwaze tupo pale namba 6 umetuzidi point 9 ila ndani ya week mbili zijazo January hii na February lazima nikushushe maana kupatwa kwa Arsenal ndiyo huwa kunatokea ....... ding dong ding......
 
Nicheke mie khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee haya hebu niambie mechi mtakazoshinda mnaanza na Swansea, then Sheffield Utd, New Castle, Loser fools, Sothampton na Stoke.

Chichi in the same order ... ...
New Castle, Sunderland, Loserfools, Stoke, Chelsick na Southampton ... ..... you know what about our last game ... ... revenge match.

15 points at stake
(Ukiondoa hiyo ya FA cup) mtakomba kiasi gani na chichi tutakomba ngapi? Thats your choice ..... ..... ..... at the same time nikujuze tu mbadala wa Coq huyu hapa chini .... ....... done deal ... ... Ding dong .... . .

2FA8473400000578-3378488-Basle_midfielder_Mohamed_Elneny_is_set_to_sign_for_Arsenal_in_a_-m-1_1451458786671.jpg

Kijana kutoka Misri huyo .... .... ... ni moto kwenye hiyo nafasi ..... . .
 
Oya! Kuna chochote positive unakiona kwa The Gunners? Nimeona komments zako, nenda barcelona Fc, itakufaa angalau kwa sasa.
 
hayden.jpg

Prof kaamua kumrudisha Isaac Hayden (20yrs Old)
ambaye anaweza kucheza nafasi ya holding midfielder.
 
_87406750_collage2.jpg

Happy New year Gunners wote .... ... ... Ding .... Dong.
 
Back
Top Bottom