Latest Team news
Arsenal wana wachezaji kadhaa ambao ni majeruhi kama Danny Welbeck, Per Mertesacker, Lucas Perez na Chuba Akpom.
Hector Bellerin a,bae alokosa mechi ya jumanne na Ludogorets yupo fit na Granit Xhaka ambe alikuwa kitumikia adhabu ya kadi nyekundu atakuwemo kwenye timu.
Tottenham wao pia wana wachezaji ambao ni majeruhi Toby Alderweireld na Erik Lamela na Mousa Dembele .
Moussa Sissoko anatumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa wiki ilopita Spurs walipocheza na Bournemouth.
Hivyo basi, timu zinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo:
Arsenal: Cech, Bellerin, Mustafi, Koscielny, Monreal; Coquelin, Xhaka; Ramsey, Ozil, Sanchez; Giroud
Akiba : Iwobi, Gibbs, Walcott, Elneny na Gaby.
Tottenham: Lloris; Walker, Dier, Vertonghen, Rose; Wanyama, Winks; Eriksen, Alli, Son; Janssen