Mourinho akiongea ukweli huwa mnamponda
Eti mbio zenu na liverpool mnaweza kupanda milima?? Haya sasa usitukane wakunga uzazi ungalipo..Mwaka huu ni mbio zetu arsenal pamoja na Liverpool ...kazi kwetu sasa
Niko busy now nagawa dozi tutaonana next game OTMourinho alisema nini juu ya refa huyu? Nikumbushe. Vile vile ni jinsi gani kocha anavyosema sio kuropoka kama Mourinho afanyavyo.
Hata leo kabla ya mechi ulitegemea ushindiTumemiss a really big chance ya kuwa kileleni considering Liverpool na Utd wanashinda mechi zao za leo. Gundu la November limeshakita kisigino. Anyway up to the next game against manyang'au wa Old Trafford. Msimu huu Arsenal wanacheza vizuri Away kuliko Emirates, nategemea ushindi Old Trafford.
Hata leo kabla ya mechi ulitegemea ushindi
Mbavu zangu......haaaaaaaaaaaaaArsenal ameanza kuingia kweny siku zake.
Haikuwa penati kabisa ile basi tu refa kawabeba tayari.Refa kashaanza kuharibu penati gani hii
Arsenal tunatandaza mpira Epl nzima. But leo tumekamatwa na Spurs. Nilisema sisi ni wazuri wa kuongea kutukana na wazoefu wa big 4. Wenzetu chelsea na liver wanachanja bunga sisi tunatukana na kutandaza mpira epl nzima.Acha zako ww,unaleta historia hapa kwendaaaaaaaaaaaaaa
Unauliza tuna mpira gani ?????hovyo kabisa wewe epl nzima kuna timu inatandaza soka safi kama arsenal??!!??kama hujui uwe unakaa kimya kuropokaropoka unajiaibisha dada yangu
Arsenal ameanza kuingia kweny siku zake.
inamaana arsenal na mashabiki wao wote ndio wanaanza kuingia kwenye siku zao?