Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu hao wachezaji wote ulowataja Wenger aliwasajili wakati wa shida yaani uwanja mpya ulipokuwa ukijengwa.

Tangu Arsenal ihamie Emirates wanajitahidi kusafanya usajili waa maana kama wa Mesut Ozil na Alexis Sanchez.

Wenger huwa hapendi kufanya usajili mkubwa mwezi January isipokuwa wakati wa summer.

Wewe subiri utaona usajili wa mwaka huu mwezi Juni /Julai,maana wanaondoka Flamini, Rosicky na Arteta atabakizwa aje kuwa kocha msaidizi.

Kwa Arsenal ninayoifahamu sitaki kuumiza kichwa kuwaza nani anasajiliwa.
Tumeishi kwa matumaini sana na mbaya zaidi waandishi nao wametuingiza sana. Chaka eti Benzamna yupo London kwa ajili ya vipimo.

Chini ya Wenga put ur hopes low kuepusha magonjwa yanayoepukika mkuu
 
Jaribu kumwelimisha kuwa wakati tunanunua Mediocre players kama Squilaci haikuwa Coincidence

labda atakulewa

Hebu linganisheni na gaharama ya hayo magarasa tulipigwa ngapi.

Leo hii linganisheni na gharama ya kikosi cha Leicister hakizidi £21M lkn sisi vilikuwa vinazidi thamani hiyo.
Tuache kusingizia financial constraints kwa failures zetu.

Lawama iwe kwenye ambitions za Board kisha matarajio yetu wapenzi na washabiki yanaharibiwa na Mwalimu.
 
Kama unaona wenger na bodi nzima ya arsenal inakukera hama timu

kwani mama yako au baba yako Arsenal
mbona mi naipenda na matokeo yake kama ilivyo
 
Hebu linganisheni na gaharama ya hayo magarasa tulipigwa ngapi.

Leo hii linganisheni na gharama ya kikosi cha Leicister hakizidi £21M lkn sisi vilikuwa vinazidi thamani hiyo.
Tuache kusingizia financial constraints kwa failures zetu.

Lawama iwe kwenye ambitions za Board kisha matarajio yetu wapenzi na washabiki yanaharibiwa na Mwalimu.

Kaka umelazimishwa? kuwa fan wa arsenal nenda City they got a lot of unlimited Funds there
 
Hebu linganisheni na gaharama ya hayo magarasa tulipigwa ngapi.

Leo hii linganisheni na gharama ya kikosi cha Leicister hakizidi £21M lkn sisi vilikuwa vinazidi thamani hiyo.
Tuache kusingizia financial constraints kwa failures zetu.

Lawama iwe kwenye ambitions za Board kisha matarajio yetu wapenzi na washabiki yanaharibiwa na Mwalimu.

Leicester hajabeba ubingwa bado na hatoweza.....

kwa Taarifa tu....tulifika christmass 2007- 2008 tukiwa na 43 points baada ya game 18 bila kufungwa game yeyote mpaka muda huo kwa kikosi hicho hicho cha kuunga unga unachosema na financial Constraints ziko mbele yetu

eduardo akavunjwa mguu pale birimingham msimu ukaisha....

ikiwa suala ni kuwa Top christmass we have been there once tena convicingly
 
Sasa nadhani tunaongea lugha zinazofanana kidogo.
Tuache kusingizia financial constraints
Manager anatakiwa kuwa na Plan A B and C za game approach kitu ambacho naona Babu umri umetaradadi na haezi kuapprocha kwa style tofauti tofauti kulingana na Mpinzani wake.
Tumefika hapa tulipo kwa ajili yake.
He has got positives….. Ametujengea kiwanja kwa own means sio za tucoons
He has his negatives too….. Ametunyima majombe kwa miaka 10 na kuifanya team isitishe tena mbele ya miamba ya soka
 
Kwa hiyo Babu tunamtaja kwa mazuri yake na Mabaya yake pia haipendezi kuyatenganisha.

Na hukana maisha yasiyo na mwisho pia
 
Unaposema ametunyima makombe in 10 years, wakati ukijua FUND hazikuwapo hakuwa na uwezo wa kukaa na nyota hata ku compete kuwapata unashangaza maana hii nayo contradiction

ufahamu kuwa so long as Hakukuwa na fund za ku compete na likes ya manure, City na Chelsea Only wali target a Top four and a "bonus cup" kama ingetokea

Ubingwa unaubeba baada ya kuwekeza na kuchanganya na Talents ulizonazo mzee (kitu kinachofanyika) kuanzia miaka miwili mitatu hapa

Hivi nikuulize huoni trend imebadilika sana unaweza fananisha Arsenal hii na kuanzia 2008 mpaka 2012?

arsenal ya kila summer mnauza Key players wawili kwa shinikizo la Deni na kwa kuwa hamuwezi kumzuia (hakuna Pesa) ??
 
Last edited:
Kwa hiyo Babu tunamtaja kwa mazuri yake na Mabaya yake pia haipendezi kuyatenganisha.

Na hukana maisha yasiyo na mwisho pia

wenger sio kwamba hakosei....

Ndo maana hatukatai kuwa ana short comings zake...

ila ebu fungua akili yako kidogo, kwanini kuanzia 1996-2005 alikuwa na kikosi ambacho ana kimaintain

kikosi imara akiweza kupata Talents kibao toka kila kona, hakuna mediocre players na Kuanzia 2006 baada ya kuhamia emirates aanze kukuza Teenagers? na Kununua sana kwa Mikopo na kutegemea sana Academy, on top of that

ilifikia mpaka kuleta watu wameishachoka kama Sylivester, Sol campbell (jan 2010) jens lehman kutoka Retirement kurudi tena 2011

aisee hio sio COINCIDENCE ni kitu kinazuia....

huwezi kuuza Ade,Kolo,Hleb,RVP,Cesc,samir nasri song kila summer unatengeneza timu UPYA ukabeba makombe

Moja ya msingi mkuu wa kuwa na TIMU BORA NI STABILITY nakuhakikishia 2006 mpaka 2012 hakukuwa na stability kbs pale
 
Duh tuna plastic fans wa kutosha sana hawataki kujua timu imetoka wapi,imepitia,imefika na inaenda wapi hii hatari sana.
 
@kashengo
Pole sana naona unatumia nguvu kumuelimisha swahiba naomba asubuhi nikiamka nije nikusaidie ila uyo jamaa kanifanya nicheke alfajiri hii kwa comments zake.
 
INTERESTING ANALYSIS

http://www.bbc.com/sport/0/football/35196466

Premier League title: Arsenal, Man City, Leicester or Tottenham?

Premier League titles are not won in December as the saying goes but and in this topsy-turvy season picking England's next champions five months early is a tricky ask.

Can Leicester do the unthinkable? Will this finally be Arsenal's year? At this stage last year, 13 points separated the top four, a gap which stands at just four points this season.

So who will break from the pack? BBC sport's chief football writer Phil McNulty (PM) gives us his verdict with the help of BBC Radio 5 live pundit Steve Claridge (SC).
1. Arsenal

Strengths:

PM: Arsenal have the creative brilliance of Mesut Ozil and goals from the attackers of the calibre of Olivier Giroud and Alexis Sanchez. A crucial new factor is the vastly experienced Petr Cech in goal - not just a calming influence and world-class goalkeeper, but also a personality who knows what it takes to win Premier Leagues at Chelsea.
Per Mertesacker and Petr Cech

Three of Arsenal's four league defeats this season have arrived in away matches

Weaknesses:

SC: Arsenal's weaknesses are they have too many players in one position and not enough width and balance in their team. Defensively they can be suspect when they haven't got the ball so they can be vulnerable when they don't dominate the ball.

PM: Mental fragility. Have not yet provided conclusive evidence that they have conquered this block - and suspicions that flaw remains were raised again by the shocking 4-0 loss at Southampton on Boxing Day. Arsenal also suffer too many injuries.
Rio Ferdinand

Former Manchester United defender Rio Ferdinand seems to think Arsenal have a great chance to win their first title since 2002

What manager Arsene Wenger says: "In 2015, if you look back and try to analyse, we have been consistent and overall we had quite a positive year. We have stabilised defensively and improved our record against the strong teams in the Premier League. So it looks like we are on the right trend, the right way."

Phil McNulty's verdict: 1st
 
@kashengo
Pole sana naona unatumia nguvu kumuelimisha swahiba naomba asubuhi nikiamka nije nikusaidie ila uyo jamaa kanifanya nicheke alfajiri hii kwa comments zake.

Nadhani ni kati ya Wengi katika Fans ambao hawajui trend ya timu yao imetoka wapi na iko wapi na sababu za transition
 
wenger sio kwamba hakosei....

Ndo maana hatukatai kuwa ana short comings zake...

ila ebu fungua akili yako kidogo, kwanini kuanzia 1996-2005 alikuwa na kikosi ambacho ana kimaintain

kikosi imara akiweza kupata Talents kibao toka kila kona, hakuna mediocre players na Kuanzia 2006 baada ya kuhamia emirates aanze kukuza Teenagers? na Kununua sana kwa Mikopo na kutegemea sana Academy, on top of that

ilifikia mpaka kuleta watu wameishachoka kama Sylivester, Sol campbell (jan 2010) jens lehman kutoka Retirement kurudi tena 2011

aisee hio sio COINCIDENCE ni kitu kinazuia....

huwezi kuuza Ade,Kolo,Hleb,RVP,Cesc,samir nasri song kila summer unatengeneza timu UPYA ukabeba makombe

Moja ya msingi mkuu wa kuwa na TIMU BORA NI STABILITY nakuhakikishia 2006 mpaka 2012 hakukuwa na stability kbs pale

Post yako Mkuu Ndefu sana na nzuri kuisoma hasa kipande cha Stability.

Lakini naomba unijibu maswali mawili Madogo
1. Chanzo cha mapato ya team ni kuuza wachezaji!?
2. Nini faida ya uwekezaji wa Bilionea Silent Stan ambae kila mwaka anakula gawio tena Nono.
Wakati wawekezaji wenzie wanainject cash kwenye team yeye anavuna pesa.
 
Stan kroenke kawekeza kwenye timu lakini sio Owner wa Timu kama like of Chelsea, Psg, The grazers family

Yule ni majority share holder na tradition ya arsenal hawakutaka kuweka Taycoon amwage pesa japokuwa alipatikana nae alikuwa ni Ulisher Usmanov ambaye ni minority shareholder (huyu alitaka auziwe mazima timu) wakamgomea na ndo chanzo cha makamu mwenyekiti wa Arsenal David Dein kuachia ngazi baada ya kutoelewana na wanabodi wenzie juu ya uendeshaji wa timu na ulipaji wa deni la uwanja...

Kuuza wachezaji nyota inakuja pale ambapo Huwezi kuwa maintain yaani kuwapa package nzuri ya mikataba na kuwahakikishia additions za nyota wengine, na kwa hilo utauza tu kwani una mali ila huwezi kutunza na wakati ule ilikuwa hata Mshahara kwa wiki RVP peke yake ndo alifika £100,000

imagine timu kama City ilikuja inamtaka Adebayor ambaye alikuwa anapata kama £80,000 per week wao wakaenda kumpa £150,000 huyu hawezi kubaki...man city walifanya ARSENAL kama academy yao sababu ya vurnalability ya mishahara ilikuwa midogo, barca pia na hata Manure walipokuja kwa RVP

In summary ni kwamba chanzo cha kwanza kwa Timu kubwa ni Entrance fee, ndo maana vilabu vingi Tajiri wana viwanja Vikubwa sana...

Ila kujenga uwanja mpya ni gharama sana....Chelsea, Liverpool na sasa Totenham wao wanapanua tu uwanja walizonazo Option za kujenga UPYA wameona ni gharama mara dufu....
 
Reports have claimed that the 23-year-old midfielder has already agreed personal terms on a contract and is set to become Arsene Wenger's first signing of the January windowBasel midfielder Mohamed Elneny is having a medical with Arsenal , according to the former assistant coach of the Egypt national side.
Several reports in England have claimed that the 23-year-old has already agreed personal terms on a four-and-a-half-year contract and will finalise his £5 million move after completing a medical and receiving a work permit.
And now, Dia El Sayed, who worked with Elneny for Egypt’s Under-20s and the senior side, claims on Twitter that the midfielder is having a medical with the Gunners.
 
Unaposema ametunyima makombe in 10 years, wakati ukijua FUND hazikuwapo hakuwa na uwezo wa kukaa na nyota hata ku compete kuwapata unashangaza maana hii nayo contradiction

ufahamu kuwa so long as Hakukuwa na fund za ku compete na likes ya manure, City na Chelsea Only wali target a Top four and a "bonus cup" kama ingetokea

Ubingwa unaubeba baada ya kuwekeza na kuchanganya na Talents ulizonazo mzee (kitu kinachofanyika) kuanzia miaka miwili mitatu hapa

Hivi nikuulize huoni trend imebadilika sana unaweza fananisha Arsenal hii na kuanzia 2008 mpaka 2012?

arsenal ya kila summer mnauza Key players wawili kwa shinikizo la Deni na kwa kuwa hamuwezi kumzuia (hakuna Pesa) ??
Hii issue ya pesa imekuwa kisingizio kwa wafuasi wa Wenger kutobeba ubingwa,Arsenal mara nyingi wamekosa ubingwa kwa approach ya Wenger kwenye mechi nyingi hasa big mech siku hizi ameanza kubadilika ndio maana anashinda angalia alivyoshinda dhidi ya ManUnited,ManCity,Bayern
Wachezaji wengi wanaofanya vizuri sasa Monrel,Berelin,Coq,Carzola,Ramsey,Walcot,Giroud,Per, wote hawa wamenunuliwa kwa hela ya kawaida

Sababu nyingine timu pinzani (Man United,Man City,Liverpool,Chelsea )zimekuwa zinabadilisha makocha kila baada ya misimu 2 na kutokuwa stable while yeye yupo siku zote ni advantage kubwa sana kwa Wenger
 
Back
Top Bottom