Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wamebadili gear angani...sasa hivi wanacheza fomesheni ya 11-0-0
 
Asernal hufungwa na Barca kwakua walishajiona wao ni wanyonge tu kwa barca. Kama swala kwa simba. Wanafika golini kwa barca lakini wanashindwa wafanye nini maskini. Leo ndio naona Asernal wanapiga mashuti aisee tena ya mbali
 
Arsenal tunatisha! Hadi halftime tumefungwa goli 1 tu. Arsenal oyee!
 
1458161268041.jpg

Wanaisoma no.tu
 
hahahaha sheria ya nchi hairuhusu kuingia kwenye nyumba ya mwenzio bila ruhusa huo wizi ebu waacheni wana arsenal jamani naona mnachat mashabiki timu nyingne kwenye uzi wa arsenal muwe na huruma
 
Very smart of Wenger to rest players so we can try & win the chance to qualify for a competition we never win. #afc
Source: Piers Morgan
 
Back
Top Bottom