Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahahahahahahahahahaha!!!!
1458136733566.jpg
 
Man utd damu, ila leo Arsenal anaweza shinda though kuprigress mbele ni mtihani mwingine
 
Hii line up ya Mzee Wenger leo inasikitisha,inakuaje leo Flamini anaanza ?
 
Hivi kuna yule chifu anaitwa Richard yuko wapi siku hizi kutupa updates? Au anasubiri timu inapokua kileleni tu.

Mcdonaldy ye anachungulia tu, zile mbwembwe zote kaziweka wapi?

Nonda saidia vijana wa Mr bean kutoa updates, kashengo ye kaondoka kumfuata wacha1 aliko
 
Familia ya mashabiki wa soka duniani inapenda kuwatangazia kwamba baada ya binti yao mpendwa ArsayNO kufanyiwa sendoff pale Emirates ...Leo ndo anaolewa jumla na kijana Bakalona ,harusi itafanyika kuanzia SAA 4;45 ukumbi wa Camp Nou na kurushwa LIVE ktk TV za bar,vibanda umiza na majumbani


Karibu sana
 
Back
Top Bottom