Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nafikiri Wenger Anaeza Pata Suluhisho La Kiungo Mkabaji, Mohamed Elney, Kwa Jinsi Nilivo Muona Jana, Nafikiri Ni Muda Tu, Lakini Ana Uwezo Na Akili Ya Kiungo Mkabaji mzr kwa siku za mbeleni
 
Poreni wana aseno wenzangu.mi nirijuwa tangu mwanzo tutafungwa na hawa jamaa ndiomaana sikutaka hata kuangaria nimeona ntajisumbua bure, hatuna ubavu wa kucheza na hawa jamaa.
 
Done
53b6833ef82d3ce85215270c5f3848b1.jpg
 
Yaani.........kila mwaka ni kuumia tu. Tusubiri kocha mwingine.
Pole swahiba hata sisi miaka mitatu hii imekuwa migumu kwetu toka yule babu yetu aondoke tunam miss sana sasa sijui nanyi mtamkubuka maana ushaanza kufikiria kufunga virago.
 
DSTV

Dear Customer
Please note that all Arsenal matches have been moved to Cartoon Network to pave way for serious matches on the Super Sport channels. We apologise for any inconvienence caused.

Regards

Multi Choice
 
Sanchez nae kawa JIPU, ni aina ya mchezaji ambae alipaswa kutuokoa kwenye match muhimu na kuonesha uwezo binafsi km wafanyavyo kina coutinho,mahrez,lukaku and so on, ila amebaki kukimbia 2 km mad dog na kupoteza mipira km ramsey, kwa kocha makini alipaswa kutokea benchi kwa ss na sio kujipa hope kuwa atakuwa fit leo,kesho or keshokutwa. Sick and tired of him
 
Mkuu hata Messi akicheza timu ya taifa anakuwa mchezaji wa kawaida sn,kwa hii timu yetu utamchukia kila mchezaji mzuri. Sanchez ni mzuri ila anacheza na wajinga wengi,hiv mkuu unategemea tungemtoa barca na hawa kina walcott,chamberlain na Giroud???
Hata ukivaa suti afu ukakaa jalalani watu watakuita kichaa tu.
 
Hawa FA kwanini wanatuchezeshana mchana mechi za mchana kwetu huwa nuksi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom