barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
Wacha 1 sijui kakasirika! Toka tudroo ma southampton sijamuona humu! Ila atakuja tu, ni die hard fan wa Arsenal, atakuwa na majukumu mengine tu.Wacha 1 nasubr picss
Wacha 1 sijui kakasirika! Toka tudroo ma southampton sijamuona humu! Ila atakuja tu, ni die hard fan wa Arsenal, atakuwa na majukumu mengine tu.Wacha 1 nasubr picss
Duh mpwa uyu Everlenk jana kasogeza mbele mazishi yao kusubiri tuzike wote sijui kapotelea wapi yule binti ngoja nimsake.everlenk ule msiba umeenda wapi mbona huku London hauko???! Khe khe....
Mi nafurahi wifi yako kafurahi...wikiendi itaisha vyema maana ile penati mpaka nkashindwa kushangilia.
Hatokezi hapa hadi janga la Barca lipite pale EmiratesWacha 1 nasubr picss

Mpwa ivi wale watabiri mbona hawaji uku kwetu maana walihesabu sana siku kua tunakufa leo naomba waalikwe kwenye harusi hii waambiwe tumeshamuoa shoga yao waje wacheze singeri hapa kibaraza cha Emirates
Man city is falling apartKabisa kabisa sisi ndio wapenzi wa mpira mkuu kwa kweli ushindi wa leo unatoa fursa nzuri sana ya Arsenal kutwaa kombe.
Lakini tunayategemea sana matokeo ya Man City na Tottenham nataka watoe sare.
City kapoteza kwangu mimi ni faraja sana kati ya timu ambazo sipendi kufuatana nazo ni City the moment wanakaribia finishing line ndivyo speed inavyozidi acha tutengeneze ka-gap nao uyu Tottenham tutamalizana wenyewe kama Leicester tu.Kabisa kabisa sisi ndio wapenzi wa mpira mkuu kwa kweli ushindi wa leo unatoa fursa nzuri sana ya Arsenal kutwaa kombe.
Lakini tunayategemea sana matokeo ya Man City na Tottenham nataka watoe sare.
Spurs toka nizaliwe hawajawahi kumaliza juu ya Arsenal, and watamaliza wa pili. Nadhani waelewa maana yake Arsenal watamaloza wangapi.Spurs wapo sawa sana ila hatujawafatilia kwa makini tuu
Pale White Hart Lane tumeshawahi chukulia ubingwa si kitambo sana, tutaenda malizana nao hapo hapo kwao maana ni mwendo wa kutembea kwa mguu tu toka emirates. Wana poont zetu tatu!City kapoteza kwangu mimi ni faraja sana kati ya timu ambazo sipendi kufuatana nazo ni City the moment wanakaribia finishing line ndivyo speed inavyozidi acha tutengeneze ka-gap nao uyu Tottenham tutamalizana wenyewe kama Leicester tu.
Spurs toka nizaliwe hawajawahi kumaliza juu ya Arsenal, and watamaliza wa pili. Nadhani waelewa maana yake Arsenal watamaloza wangapi.
Kama mpenzi wa Chelsea nimekasirika kinomaaaaaaa...
Kama mpenzi wa football am neutral...they both deserved the results they got.
Kama family man nimefurahi maana mabusu na makumbatio yamekuwa mengiii...tunaelekea nyumbani sasa. ;-)
We husiye jiliwaza uko nafasi ya ngap vileee?Mnapenda kujiliwaza mkishinda, anyway itafahamika tu