Wanakwambia huwa wana historia ya kushinda ugenini na mifano watakupa.Mashabiki wa Arsenal bhana!
Watasema walimfunga Bayern, walimpiga AC Milan n.k ila hawataweza sema walimpiga Barca Nou Camp!Wanakwambia huwa wana historia ya kushinda ugenini na mifano watakupa.
Ahsante kwa kumbukumbu ndugu yangu wacha tusubiri kesho.Watasema walimfunga Bayern, walimpiga AC Milan n.k ila hawataweza sema walimpiga Barca Nou Camp!
Kesho sio mbali mkuu!Ahsante kwa kumbukumbu ndugu yangu wacha tusubiri kesho.
He said "a lot of questions have to be asked" of the current players, adding that they were not doing enough for Wenger.Nimeacha kushangilia Arsenal hadi WENGER aondoke... msinitafute wala kuniuliza maswali wala sitaki mu-quote hii post au ku-like. See you in the future ahem
yap kamnunua kwa ajili ya kufuta matokeo. ...........wenger bonge la kocha.huyo no. 23 ni jecha kweli...huwa hakawii kubadilisha matokeo....na leo akianza huenda akabadilisha matokeo vilevile
Natafuta ela kwa jasho langu Mkuu, mimi na mambo ya kubet tofauti aiseee ila leo Arsenal leo kifo mbona lazima.
hapa kinachomatter ni fursa mkuu, kama unaona una uhakika wa kuinvest million 1 halafu baada ya dk 90 ukamake abnormal profit ya extra 40k kwanini usikamate hiyo fursa....Natafuta ela kwa jasho langu Mkuu, mimi na mambo ya kubet tofauti aiseee ila leo Arsenal leo kifo mbona lazima.