kuna vipaji vingi wanashinda waleswali jepesi: Hivi hawa Barca hata wakifundishwa na kocha KILAZA kama mimi hawashindi?
Alikuepo jordi roula barca walikua wanapigwa tu kizembe...akaja tata martino barca hakawa anapigwa tu kizembe.... Kocha ana umuhimu wake aisee ww huon madrid anavoangaikaswali jepesi: Hivi hawa Barca hata wakifundishwa na kocha KILAZA kama mimi hawashindi?
wajinga wanakufa huku. huyu Coman ni balaa.Cjui km atapindua....
Watafute kubaki top 4 tu kwa maana nyingine ubingwa wausahau maana Leicester anakinukisha hatariiiiPoleni ndugu zangu wacha niwahi kutoa pole kabla ya watu wengine kuja na maneno ya karaha na kejeli mpira ndo huu ndugu zangu kazeni buti penye ligi yetu.
Unakumbuka msimu iliyopigwa na Bayern nje ndani (Aggr.bao 7) kama unakumbuka hii utaelewa umhimu wa kocha mzuriswali jepesi: Hivi hawa Barca hata wakifundishwa na kocha KILAZA kama mimi hawashindi?
Wenger haondoki!Nategemea msimu ujao tutakuwa Na kocha mpya.
Ahahahahahahahahahahahahaha!!!!Nategemea msimu ujao tutakuwa Na kocha mpya.
Anza kuangalia Game za Barca taraatiiiibuuuuuuuu, utaipenda tu. Harafu ukiwa unaangalia Game za Barca, sahau yale machungu waliyokutendea ukiwa na Arsenal, uwaangalie ukiwa hauna kinyongo nao.Sijui nitumie mbinu gani ili nihame hii timu,inaniboa sana
Huo ndio ukweli mgumu kuukubali jamaa wafanya biashara hayo mahaba ya vikombe hawaangalii wanazidi kuwaumiza mashabiki wao.Wenger haondoki!
Balanced bugdet is what Arsenal Board of Directors want!!
Hayo mambo yenu ya vikombe wala wao hayawasumbui