Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

SAY WHAT????!!!!!!!!!!!!

b2.jpg
 
mkuu, arsenal wana allergy na makombe...wanakaribia kabisa kuchukua kombe lao la jadi la BIG FOUR. arsenal oyeeee!
Ukimuona Arsenal juu ni sawa na kumuona tumbili mjini ujue kaletwa na muda wowote anaondolewa...
 
As salaam aleikhum waungwana wenzangu ni super sunday nyingine tunaelekea OT kufanya lile tulilolifanya Emirates hakuna namna tunazihitaji pointi 3 leo.
Cech
Berrelin
Nacho
Gabriel
Koscielny
Coqueln
Ramsey
Walcott
Welbeck
Ozil
Sanchez
Hongereni kwa kuzoa point 3 na bao 3 leo OT. Teheteheteheee
 
Jumapili kilio kiko kwa LVG kama Wenger atatumia mbinu aliyotumia kwa Barca hakuna hadithi ingine hapo.
Mbinu tumeziona leo...chipukizi wamewapiga 3 Je Messi na utatu wake wiki ijayo Barcelona mtauweza?
 
Jumapili ni siku ya mwisho ya LVG kujitetea na kuendelea na kibarua chake. Mashetani wakibamizwa, Wanahabari wa UK watamsomea buriani. Wenger akitumia mbinu zile za juzi dhidi ya Barca anashinda mechi yake dhidi ya mashetani. Ni wazi Wenger atamwanzisha Welbeck ili kuwachokoza Man United.
Soka lingechezwa mdomoni Tanzania tungechukua World Cup....
 
Hahahahaha aiseeee arsenal vilaza yani mimi baada ya Chelsea kuanguka nikajua huu msimu wa aseno ila du nyie vilaza hata watoto wa academy wanawatoa jasho duh! Kuchukua EPL mtasubiri saaaaaaana
 
Kuna mtu alisema 'HAWA ARSENAL WATACHINJWA BILA GANZI NA WATAPIGA KELELE KWELI' yametimia...khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
Game over!!!!!!!!!!!!!!Title Hope Over, both Spurs and Leicester won their game this weekend , we lost to a school team. Siamini hata team kama Sunderland waliwafunga Man U kwanini sio sisi?
 
Sikubaliani na wewe kua kupigwa na Barca kutaifanya Arsenal wapoteane ki-uhalisia jana dunia ilijua kua Arsenal tulikua underdogs ni kweli maumivu ya kufungwa yapo lakini sio kama yale ya Monaco bado naamini Arsenal watakua focused kwenye ligi naomba na hii coment itunze pia kwa matumizi ya baadae hasa baada ya game yetu pale OT hakika utakubali mziki ambao utapigwa siku hiyo.
RRONDO nimekusogezea hili file hapa maana alitaka lihifadhiwe kwa matumizi ya baadae ... Au baadae yake bado??
 
Back
Top Bottom