Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mbinu tumeziona leo...chipukizi wamewapiga 3 Je Messi na utatu wake wiki ijayo Barcelona mtauweza?
Hujitambui, mimi si Arsenal wala si shetani mwekundu.

Kuna post niliweka,nilisema Arsenal kama wangecheza na mbinu ile walicheza na Barca leo LVG angefanya maigizo ya kujiangusha sana ,pengine angezimia kabisa. Game ile ilikuwa ni ya "Arsenal to loose" na walichagua hilo.
Walicheza kwa utegezi, hakukuwa na pasi za uhakika. Mbinu ya Man. United ya pasi refu iliwachanganya sana Arsenal.

Link Arsenal Special Thread
 
Huyu ni Ozil au Walcott??

1g.jpg
 
Hodiiiii..
Kwani kuna chochote kibaya kilichotokea hapa? HahahahahahahahaH
Mie nimesikia watu tu wananong'ona kwamba Wenger alisahau kumnunua Rashford dirisha la usajili lilipofunguliwa January. LVG aliipata fununu hiyo kwa hiyo amemua kumpandisha dau Rashford. Wenger hana paundi 35 milioni ya kumhamisha mji dogo huyo.
 
Hshahaaaaa kwa hiyo ni wafa maji eeeeh. Waache watapetape maana hata hivyo dogo mbayaaaa kawanyooosha teheeeee
Mie nimesikia watu tu wananong'ona kwamba Wenger alisahau kumnunua Rashford dirisha la usajili lilipofunguliwa January. LVG aliipata fununu hiyo kwa hiyo amemua kumpandisha dau Rashford. Wenger hana paundi 35 milioni ya kumhamisha mji dogo huyo.[/QUOTE
 
Hujitambui, mimi si Arsenal wala si shetani mwekundu.

Kuna post niliweka,nilisema Arsenal kama wangecheza na mbinu ile walicheza na Barca leo LVG angefanya maigizo ya kujiangusha sana ,pengine angezimia kabisa. Game ile ilikuwa ni ya "Arsenal to loose" na walichagua hilo.
Walicheza kwa utegezi, hakukuwa na pasi za uhakika. Mbinu ya Man. United ya pasi refu iliwachanganya sana Arsenal.

Link Arsenal Special Thread

Acha kujitetea wewe ni Arsenal pure,post juu huko zinaonyesha kabisa ...... kama mngeshinda ungeanza kujitapa tu hapa" kwa kelele zako zootee kumbe ni Failure fc.
 
Acha kujitetea wewe ni Arsenal pure,post juu huko zinaonyesha kabisa ...... kama mngeshinda ungeanza kujitapa tu hapa" kwa kelele zako zootee kumbe ni Failure fc.
Enzo unaweza kusoma? Unajua kusoma kweli? Je unaposoma unafahamu?

Kwa nini unichagulie timu? Lete "ushahidi" wako wa post inayoonesha mimi ni Arsenal. Nina uhakika hukufahamu niliyoandika.
 
hata jina simjui........

bu.jpg
Huyu dogo ni mzanzibari nafikiri, ana sura ya kizenji hivi, HANA kisogo!
Back to reality: Tatizo ni muingereza, ATAJAZWA UPEPO na kusifiwa kupita maelezo, kisha baada ya miaka kadhaa itabaki historia kuwa on his EPL debut alipiga a brace!
 
That's what I hate about English media,still Manchester united is the club that cherish a culture of valuing the young players from academy.
Huyu dogo ni mzanzibari nafikiri, ana sura ya kizenji hivi, HANA kisogo!
Back to reality: Tatizo ni muingereza, ATAJAZWA UPEPO na kusifiwa kupita maelezo, kisha baada ya miaka kadhaa itabaki historia kuwa on his EPL debut alipiga a brace!
 
Arsenal kila mwaka mwezi wa pili na wa tatu ni kama mwezi wa marejesho, HW THE FVCK WE GO THROUGH THE SAME THING OVER AND OVER FOR A DECATE?! And the specialist in failure in his post match interview, Manu vs Arsenal that ended to a humilialing defeat to Arsenal, losing 3-2 to an under strengh United side, THAT HAD CARRICK as a center back CLAIMS that the SPIRIT AND COMMITTMENT WAS THERE?? WTF?? I didnt se no damn spirit and commitmemt from nobody BUT Welbeck, Cech and Monreal!
Nafikiri na Sanchez ameona ni upumbavu sasa kujituma wakati wengine wanakimbia kimbia tu kama headless chicken, for a couple of games now, he's become a typical Wenger's player, NO COMMITMENT, NO DESIRE, NO SPIRIT, LOSS OF POSSESSION etc!

Wachawi wa Arsenal ni Wenger, Kronke na british core players. I wish Usanov could be the majority shareholder, but i'll keep on wishing!!! Dude is hungry but his hands are tied.

Tunakuwa a laughing stock sasa, tukishinda mechi moja kubwa, Ozil na british core players WANAJAZA SERVERS ZA INSTAGRAM kwa vi selfie!
Bullshit, FVCK THIS, Damn it!
 
kashengo na Wacha1 tunawaomba mrudi jukwaani,sasa mtakubali kuwa kisingizio cha kujenga uwanja sio valid tena,Kijana wetu Wellbeck amekuwa mchezaji muhimu sana kwenu
 
nilimwambia kashengo hiki ndio kipindi cha cha kupoteana......wamefungwa na barca,wamefungwa na man utd, kuna EPL tena midweek, halafu kuna ligi weekend ijayo, katikati ya week tena inabidi warudiane na hull city baadae weekend kuna FA cup then jumatano wanacheza na barca! wakishatumbuliwa na barca wanakutana na Everton! watacheza game 4 ndani ya siku 11 hapo kwenye hio ratiba, kuna kilichobaki hapo?!
vs swansea jumatano
vs totenham jumamosi
vs hull city jumanne
vs wes brom jumamosi
vs barcelona jumatano
vs everton jumamosi

mechi sita mwezi march
Kwa hizi mechi, Wenger LAZIMA atapata kisingizio kuwa ratiba ilikuwa tight.
 
Arsenal kila mwaka mwezi wa pili na wa tatu ni kama mwezi wa marejesho, HW THE FVCK WE GO THROUGH THE SAME THING OVER AND OVER FOR A DECATE?! And the specialist in failure in his post match interview, Manu vs Arsenal that ended to a humilialing defeat to Arsenal, losing 3-2 to an under strengh United side, THAT HAD CARRICK as a center back CLAIMS that the SPIRIT AND COMMITTMENT WAS THERE?? WTF?? I didnt se no damn spirit and commitmemt from nobody BUT Welbeck, Cech and Monreal!
Nafikiri na Sanchez ameona ni upumbavu sasa kujituma wakati wengine wanakimbia kimbia tu kama headless chicken, for a couple of games now, he's become a typical Wenger's player, NO COMMITMENT, NO DESIRE, NO SPIRIT, LOSS OF POSSESSION etc!

Wachawi wa Arsenal ni Wenger, Kronke na british core players. I wish Usanov could be the majority shareholder, but i'll keep on wishing!!! Dude is hungry but his hands are tied.

Tunakuwa a laughing stock sasa, tukishinda mechi moja kubwa, Ozil na british core players WANAJAZA SERVERS ZA INSTAGRAM kwa vi selfie!
Bullshit, FVCK THIS, Damn it!
Umefika wakati mashabiki wote wa Arsenal tufunguke macho,,Wenger enzi yake imeisha huhitaji kumuamini hata kama ni mwanzo wa msimu.Zaidi apewe pressure aondoke tu.
 
Nyie jamaa noma kweri, juzi tu hapa mlikuwa mnamsifia Leo hii hafai?? Kwerii???
Yani hiyo ndo formula yao kama ilivyo MAGAZIJUTO lazima waifuate tuu. Arsenal kila msimu wanakuwa na same character kuanzia uongozi, wachezaji, matokeo mpaka misemo ya mashabiki wake. [HASHTAG]#WengerOut[/HASHTAG] haijaanza mwaka jana wala juzi na timu kukaribia kuchukua kombe mwisho wa siku kuambulia nafasi ya nne nako wameshazoea.
ImageUploadedByJamiiForums1456728675.528708.jpg

Safari imeanza ya kuitafuta namba yao ilipo
 
Back
Top Bottom