Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kama ulivyibakia unafurahia every defeat of arsenal na kuomba njaa
Hahahaaaa njaa kwa assnail ni constant, it's only a matter of time, na muda wenyewe ukishafika ndio furaha yetu, ila hatuiombei maana tunajua ipo tu.
 
😀😀😀huyu ndio mchawi wa soka duniani after DIEGO10ş Mwenye nguvu hatari,anakusanya mkoa mzima.... madrinyo,man city,munich,granada na wengine kibao huko UK hawatamsahau huyu mtu kawadhalilisha sana.... na bado nou camp tunamsubiri kwa hamu, mchawi bado ananjaa ya magoli
 
You will never catch a team with 10 points ahead of you from FEBRUARY may we ni mgeni wa EPL, tena mbaya zaidi timu lako Bovuu

Komaa na WEST HAM, LIVERPOOL, SOUTHAMPTON hawa uko nao level moja you may finish above them

Hujui history mkuu, kumbuka vizuri.
 
Matokeo ya jana sio jambo la ajabu kwetu...ila kama yatatokea jumapili litakua jambo la ajabu sana duniani
Mimi nilicheka sana , nilipoona substitution ya Flamini. Nilimwambia jamaa mmoja mpenzi wa Arsenal, Tegemea kadi ya njano kwa Flamini au bao la pili. Haikupita dakika 2 naona mwamuzi ananyoosha mkono na kusema tuta.
Yule jamaa wa Arsenal aliniuliza kwa nini ulisema juu ya flamini?
Nilimwambia huyu Flamini ni kawaida kupata Kadi za njano kwa tackles anazofanya.

Reality check imetimia.

Arsenal walishindwa kutumia nafasi walizozipata, sasa ni majuto na maumivu tu.
 
Mashabiki wa Arsenal mko flexible sana kubadilika Prof Wenger anaweza sana kucheza na akili zenu
Jaribu kuvaa viatu vya Arsenal,ivi ingekua timu yako ndio imecheza na Barca hii Je ungekuja hapa na lawama kwa timu pamoja na benchi lote kua kwa nini mmepoteza game,frankly speakin' mimi naichukia Barca vibaya mno kwa kua mi ni mnazi wa Madrid pia kwa muda mrefu ila ukweli usemwe hawa wendawazimu wapo kwenye ubora wao na tusiowapenda tunasubiri anguko lao leo au kesho tufanye sherehe.
Kuhusu Wenger naamini hata nikikuuliza kama Arsenal wakiamua kuachana na AW nini kitafuata hautokua na jibu zaidi ya kelele tu zile za mtaani sisemi kwa ubaya recently tumeshuhudia maajabu ya Moyes out alafu ghafla LVG out simtetei AW ila kwa hali ilivyo naamini Arsenal wanakihitaji kile kizee kuliko yeye anavyohiitaji Arsenal hasa unapozungumzia ligi ya UK.
 
Hujui history mkuu, kumbuka vizuri.

Hakuna maajabu ya manchester kuikamata Arsenal, manure is a sinking ship huo ndo ukweli unaowaumiza sana ila muukubali tu.....kwa sasa mna mission impossible ya kuingia Top Four,oooh sorrr top 6 mcheze hata EUROPA league

kama kuna shabiki anaamini mnaingia Top four with expense of Arsenal mpelekeni milembe......he must be a day dreamer
 
Ila wewe shujaa wenzio wote wako mafichoni!
hakuna ushujaa kivile
unapocheza na timu ya barca you know what you can expect, japokuwa unajipa matumaini kuwa inaweza kutokea mkashinda you lower your expectations and relax

kipigo kutoka kwa barca hakiumi sana ukizingatia umepigwa na best team in the world kwa sasa

kipigo kinachokera kama ulichopigwa na kitimu kimenza mwaka 1999 mittyland, au kufungwa na Team kama Bournamouth, aston villa, au upigwe na manure timu ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo kabisa....hapa lazima usikie Hasira

ndo maana mi niko pouwa kabisa sina tatizo.....
 
Huna tofauti na yule aliesema 'wamenipiga viwili kwa mbindeeee, sio kirahisi rahisi'
 
IMG-20160223-WA0005.jpg
 
Hakuna maajabu ya manchester kuikamata Arsenal, manure is a sinking ship huo ndo ukweli unaowaumiza sana ila muukubali tu.....kwa sasa mna mission impossible ya kuingia Top Four,oooh sorrr top 6 mcheze hata EUROPA league

kama kuna shabiki anaamini mnaingia Top four with expense of Arsenal mpelekeni milembe......he must be a day dreamer

Naihifadhi hii comment for future use
 
Mimi nilicheka sana , nilipoona substitution ya Flamini. Nilimwambia jamaa mmoja mpenzi wa Arsenal, Tegemea kadi ya njano kwa Flamini au bao la pili. Haikupita dakika 2 naona mwamuzi ananyoosha mkono na kusema tuta.
Yule jamaa wa Arsenal aliniuliza kwa nini ulisema juu ya flamini?
Nilimwambia huyu Flamini ni kawaida kupata Kadi za njano kwa tackles anazofanya.

Reality check imetimia.

Arsenal walishindwa kutumia nafasi walizozipata, sasa ni majuto na maumivu tu.

kuna jamaa alikua pembeni yangu pia alimwambia mwenzie hivyo hivyo, kweli kikahappen ............... Arsenal ni cha wote. wapigwe tu mana hamna namna nyingine, na jpili wapigwe tu.
 
kuna jamaa alikua pembeni yangu pia alimwambia mwenzie hivyo hivyo, kweli kikahappen ............... Arsenal ni cha wote. wapigwe tu mana hamna namna nyingine, na jpili wapigwe tu.
Jumapili ni siku ya mwisho ya LVG kujitetea na kuendelea na kibarua chake. Mashetani wakibamizwa, Wanahabari wa UK watamsomea buriani. Wenger akitumia mbinu zile za juzi dhidi ya Barca anashinda mechi yake dhidi ya mashetani. Ni wazi Wenger atamwanzisha Welbeck ili kuwachokoza Man United.
 
Back
Top Bottom