Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

C
H
A

T
A
T
U

Mnataka tena ?....Rashford mbaya jamani
arsenal wenga kweli ni profesa wa ukweli. alipomtoa welobeki ndipo nilipodhihirisha uprofesa wake wa kuelekea kunyakua kombe lao la kila msimu la BIG FOUR.
 
Hahaha huyu MTU huwa anaubia na Man u
 
0299a1190e07ec2d4e10df37844e7e7b.jpg

Arsenal ubingwa kwenu. Ndoto
Arsenal inaonekana wazi "hawataki" ubingwa. Wachezaji wa Arsenal leo wamecheza kama wanavyocheza Aston Villa. Wachezaji hawaonekani kabisa kuwa na hamu ya kwenda mbele, mpira wanaucheza karibu na half yao. Sifikiri kama ni kosa la Wenger, zaidi ni wachezaji kutokujituma na kutoonesha ujasiri na hamu ya kufunga mabao.

Huwezi kuiponda Man. United leo, kwa kikosi walichokuwa nacho walijua hawawezi kucheza pasi fupi fupi kama Arsenal walitumia pasi refu na zilionekana kufanya kazi vizuri. Arsenal wanapenda kukaba kwa karibu lakini hii mbinu ya Man United ilikuwa inawaparanganya na hawakutambuana kabisa. Dogo aliyetupia mabao 2 anaonesha ubora kuliko Ewobi. Ni Andy Cole mpya?

Kuna wadau walisema Arsenal baada ya kipigo cha Barca inakuwa sawa na kumsukuma mlevi. Kwa game ya leo walivyoicheza , nahisi kuna ukweli. Walcot hakuonekana kabisa leo, Sanchez alipewa ulinzi wa kutosha kama utaratibu mpya wa "Wakulu" wetu kuwekewa walinzi 2 kwa uchache nyuma yao.

Tottenham na Leicester inaonekana wanaandika ukurasa mpya wa Elp.

Chelsea wamejipa lengo jipya, kuifukuzia Arsenal na ikiwezekana kuchukua nafasi ya 4. Arsenal watch out! Ntuzu na Mentor mukuje huku kuna sherehe ya LVG kumuibua Rashford ili LVG apate kupumzika na kuiachia media ya Uk ifanye kazi yake dhidi ya Wenger. Arsene who?
 
Arsenal inaonekana wazi hawataki ubingwa. Wachezaji wa Arsean leo wamecheza kama wanavyocheza Aston Villa. Wachezaji hawaonekani kabisa kuwa na hamu ya kwenda mbele, mpira wanaucheza karibu na half yao. Sifikiri kama ni kosa la Wenger, zaidi ni wachezaji kutokujituma na kutoonesha ujasiri na hamu ya kufunga mabao.

Huwezi kuiponda Man. United leo, kwa kikosi walichokuwa nacho walijua hawawezi kucheza pasi fupi fupi kama Arsenal walitumia pasi refu na zilionekana kufanya kazi vizuri. Arsenal wanapenda kukaba kwa karibu lakini hii mbinu ya Man United ilikuwa inawaparanganya na hawakutambuana kabisa. Dogo aliyetupia mabao 2 anaonesha ubora kuliko Ewobi. Ni Andy Cole mpya?

Kuna wadau walisema Arsenal baada ya kipigo cha Barca inakuwa sawa na kumsukuma mlevi. Kwa game ya leo walivyoicheza , nahisi kuna ukweli. Walcot hakuonekana kabisa leo, Sanchez alipewa ulinzi wa kutosha kama utaratibu mpya wa "Wakulu" wetu kuwekewa walinzi 2 kwa uchache nyuma yao.

Tottenham na Leicester inaonekana wanaandika ukurasa mpya wa Elp.

Chelsea wamejipa lengo jipya, kuifukuzia Arsenal na ikiwezekana kuchukua nafasi ya 4. Arsenal watch out! Ntuzu na Mentor mukuje huku kuna sherehe ya LVG kumuibua Rashford ili LVG apate kupumzika na kuiachia media ya Uk ifanye kazi yake dhidi ya Wenger. Arsene who?
 
Theo Walcott's game by numbers vs. Man
Utd:
67% pass acc.
0 take-ons
0 shots 0
completed crosses
0 chances created
 
Hatimaye naona nae Sanchez anaanza kucheza ki-Arsenal arsenal, AVERAGE PLAYER AT HIS BEST!
 
Back
Top Bottom