Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nakuja OT nakuchapa Viboko vya kutosha

jana sie Die hard fans tulikuwa tunatemesha jukwaa tu...game tulijua ni ngumu sana kwetu hakuna cha kuogopa ogopa wala short memory

game imeisha UCL imeisha

Next Game OT tuonane Jumapili saa 10 hapa jukwaani manure ya sasa ni timu flani ya kujipigia tu....yaani ni kujipigia tuuuuuu
 
niliwasema aseno akipgwa na barca wapoteana nikabishiwa na kejeli za maneno utabiri wang umetimiaaaa
 
Ohhh ding dong ohhh khe khe x 30 hawa ndio arsenal ambao wanamchekaji maarufu Wacha .......COYG njooni mcheke huku
 
We love you Arsenal mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Biashara na nyie imeishaaa thank you for giving us points,see you next season ooooooooo!!!!!!!!
 
teh! Tittle contender Can't even beat Manchester United U21team
De Gea, Blind, Mata, Herrera, Mata, Lingard, Depay, Sneiderlin, Rojo, AT THEIR PREFERED POSITIONS, then CARRICK kama CB, how the heck is this under 21?? Arsenal ni media tu wanapamba kuwa ni TITLE CONTENDERS ila they have never been, kwa kusema kuwa wamefungwa na U21 ya Manu, si kweli! Ni kama wachezaji 4 wa Manu wa first eleven ndo walikosekana!
Pamoja na hayo, Arsenal wataendelea kuwa wateja kwa Manu na ubingwa ni mpaka Wenger apndoke!
 
Arsene Wenger: "Let's not got overboard.
They ( mufc) had a very experienced midfield and spent a lot of money."
 
Arsenal ni ile ile mtaisoma namba............khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
We subiria sindano ya MOTO hakuna jinsi ya kuelewa tofauti na Defeat

aliyesema DM kwa hakika kavurugwa na kipigo na si kila wazo la shabiki analosema liko sahihi

maana DM kashanunuliwa Mohamemd Elnenny hatujui kwanini hakuwa hata bench ila Yuko

DEPTH iko ya kutosha YEEAH we ndo unawaza hayo sio tunakunywa juice baridii tunasubiria Kukupa za Uso
Arsenal ni ile ile mtaisoma namba...........
 
Poleni ndugu zangu ilibidi iwe hivyo kwani na kwetu sio kizuri sana.Japo tumetonesha msiba wa barca tulikuwa hatuna namna na uchanga wa kikosi chetu cha leo basi burdan tu.
 
khe khe khe khe khe khe khe khe khe khe......

do.jpg
 
Back
Top Bottom