Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mimi nilicheka sana , nilipoona substitution ya Flamini. Nilimwambia jamaa mmoja mpenzi wa Arsenal, Tegemea kadi ya njano kwa Flamini au bao la pili. Haikupita dakika 2 naona mwamuzi ananyoosha mkono na kusema tuta.
Yule jamaa wa Arsenal aliniuliza kwa nini ulisema juu ya flamini?
Nilimwambia huyu Flamini ni kawaida kupata Kadi za njano kwa tackles anazofanya.

Reality check imetimia.

Arsenal walishindwa kutumia nafasi walizozipata, sasa ni majuto na maumivu tu.
Jumapili pia tunataka uje na hadithi nyingine🙁😀😀
 
Screenshot_2016-02-25-13-28-26-1.png
Screenshot_2016-02-25-13-28-44-1-1.png
Screenshot_2016-02-25-13-29-13-1.png
 
Bahati mbaya hujui kwamba baca uingereza nzima wanaiogopa chelsea peke yake hata kama chelsea wawe wabovu kiasi gani baka lazma apigwe tu
Ebu tuombe tu miujiza itokee muwatoe PSG halafu mkutane na Barca tuone hicho unachosema kina ukweli gani...
 
Ebu tuombe tu miujiza itokee muwatoe PSG halafu mkutane na Barca tuone hicho unachosema kina ukweli gani...

Hahaaa naona Hawaijui vizuri baCa! Dah! Haya bana mwache nayy ajifuraishe kidogo, ila siku tukikutananao na tukawadunda hutomuona humu
 
Kuna wenzio akina rubaman Wacha wameingia mafichoni,wataibuka jumapili kidogo halafu watarudi tena mafichoni!
Naona wewe herrera, Belo, Mentor and company kila tunapofungwa mnadhani nimekimbia jukwaa. Sionekani sana humu sababu ya kuwa busy na life katika kipindi hiki cha mwanzoni mwa mwaka. Naona maumivu anayowapa LVG mnayamalizia kutusaka vijana wa Wenger. Subirini nitarudi muda si mrefu.
 
khe khe khe khe khe khe khe khe utarudi mkiwa vizuri....
 
Back
Top Bottom