Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wamecheza vizuri sana leo na timu bora duniani.

Lakini ni mpaka pale Arsenal itasajili class centre forward na class central defender hatutaweza kucheza kwa kujiamini na timu kama Barcelona.
Arsenal ipi iyo unayoizungumzia.?
 
hii game hatufungwi ...Haters Jiandaeni kulikabili hilo
Hii game hatufungwi....hii game tunacheza compact na kuvizia Counter attacks kama tulivyoipiga bayern 2-0 mismu huu huu UCL

kuna tofauti ya Kuwafunga Barca na kuwatoa in two legs...hii game wako England ni ngumu kwao aidha sare au Kipigo

issue ni kumaliza second leg kule Camp nou ndo itakuwa hatari...

You silence suereza then you have chance of 51% of silencing Messi and Neymar
najua humu tutabaki anti-arsenal tu
Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
Teh teh teh teh biashara imeisha wakuu
 
Tukubali tu Mzee wetu Wenger hata apewe miaka buku ijayo na Mwenyezi Mungu hatokuja kaa kuiondoa Baca mashindanoni.

Turudi tujaribu EPL tu.
 
Arsene Wenger has now lost more games in the Champions League than any other managers in the competitions history.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
"Ozil, the assist machine" His last UCL
assist was in October, 2014 Just let the AFC fans believe what they want
 
Mkuu, usiwe arrogant hivyo.

Ukisema hivyo (stupid Arsenal) unakosea, hii ni game, art na ufundi.

Ni mbinu za mchezo, goli la kwanza ni kosa la high pressing na tukafungwa kwa counter attack, hio ni level ingine kabisa.

Goli la pili ni individual error ambayo beki yoyote anaweza akafanya.

Hivyo ndivyo mpira ulivyo na Barca wameshinda kwa ubora wa MNS wao lakini tuliwabana kwa dakika 70.
Wewe hauko serious....umembana nani kwa dakika 70??!!! Anaebanwa ana control game kwa 72%??!!! Anaebanwa anapiga pass 299 kwa 99???!! Sema tulijitahidi kuzuia goli kwa dakika 70. Na mngekuwa na wale makipa wenu wa pound 150,000 saa hizi tungekuwa tunaongea mengine.

Barcelona were just toying with u knowing they will eventually score,whether in 10th or 70th minute,kama paka akimkamata panya anavyomchezea.
 
Nafikiri sisi ndo timu pekee WE MEVER LEARN FROM OUR PAST MANY MISTAKES!

Nafikiri malengo yapo kwenye ligi na FA Cup.

Lakini Wenger angesajili DM na hili wazo nililisema mwezi Juni mwaka jana. Coquelin hawezi kucheza high pressing game bado mdogo.

Goli la kwanza walimwacha Coquelin akabiliane na the world best player kwenye counter attack ya MNS hio ni suicidal.

Goli la pili ni same old mistakes Flamini si mwepesi na option alokuwa nayo ni kupiga kiatu.
 
Arsenal wamecheza vizuri sana leo na timu bora duniani.

Lakini ni mpaka pale Arsenal itasajili class centre forward na class central defender hatutaweza kucheza kwa kujiamini na timu kama Barcelona.
Tulitaka kucheza defensive game ambayo hata dhidi ya EPL teams huwa hatuwezi against a very good side.
Alafu kibaya zaidi, wachezaji, manager, fans, management wameshajijenga kisaikolojia kuwa kwa barcelona wao ni average, WHICH IS TRUE, ila sababu ya hiyo timu inaingia uwanjani tayari imeshafungwa maana mentality tayari ni kuwapa respect kina messi kucheza na mpira!
Anyway, TUKUBALI TIMU BORA IMETUFUNGA TENA.
 
Shukrani sana naomba utoe tangazo kua hakutakua na matanga tunawanyika hapahapa makaburini na hakuna sababu ya kuweka kigodoro ni vibaya
Suala leo ilkuwa na magoli maangapi sio kufungwa! Kuna jamaa alisema 'leo mnachinjwa bila ganzi na mtapiga sana yowe'
khe khe khe khe khe khe khe khe khe...............kheeeeeeeeeeeeeeee
 
1456265311578.jpg
 
Back
Top Bottom