Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wadau naomba tuimbe kwa pamoja huu wimbo!
Tuna imaniiii na Barcelooonaaaaaaaaaa, oya oyaaaaa oyaaaaaaaa!!!

Barcelona kweliiiiii!!!???
 
saa za msiba zinakaribia....

ngoja Niweke kambi hapa hapa maana wenyewe wamesema wanaZIKA hapa hapa HAWASAFIRISHI hii maiti!!!
 
saa za msiba zinakaribia....

ngoja Niweke kambi hapa hapa maana wenyewe wamesema wanaZIKA hapa hapa HAWASAFIRISHI hii maiti!!!

Aisee Mkuu mi ninamtazamo tofauti kabisa gunners hawezi kufa
 
Mkuu Ntuzu heshima kwako sana,

Hii game JIRANI anachinjwa bila ganzi na atapiga kelele sana believe me!

wakijitahidi sAANA watapigwa 3!

Hiii MSN wanapenda sana aisee!
khe khe khe khe khe khe khe watu mna maneno! kuna mwenzio eti anasema hawasafirishi msiba wanazika hapa hapa kwahio tupige kambi........
 
64e644a4f056d62c3fcc972187a57f90.jpg

Wanaume wakienda London!!! Kesho Arsenal Mtaelewa tuu.
 
Naona Mkuu una karama ya kubembekeza wafiwa, nashkuru wa kuja kubembeleza wafiwa!!!

Mtakimbia hapa kesho Wenger ni mtu mwingine kabisa.

Tuko pamoja mkuu
Aminia Mkuu

Mkuu Ntuzu heshima kwako sana,

Hii game JIRANI anachinjwa bila ganzi na atapiga kelele sana believe me!

wakijitahidi sAANA watapigwa 3!

Hiii MSN wanapenda sana aisee!

Heshima kwako pia Mkuu.

Mkuu tuko hapa pamoja tusubiri tuone
 
Kama namuona vile Per Mertesucker anavyopambana na akina MSN...........
Hii game hatufungwi....hii game tunacheza compact na kuvizia Counter attacks kama tulivyoipiga bayern 2-0 mismu huu huu UCL

kuna tofauti ya Kuwafunga Barca na kuwatoa in two legs...hii game wako England ni ngumu kwao aidha sare au Kipigo

issue ni kumaliza second leg kule Camp nou ndo itakuwa hatari...

You silence suereza then you have chance of 51% of silencing Messi and Neymar
 
mnaosubiri Per na messi wakutane hamtaamini

hakutakuwa na one against one situations maana Arsenal will let barca play with posses the ball and defend in numbers
 
Hii game hatufungwi....hii game tunacheza compact na kuvizia Counter attacks kama tulivyoipiga bayern 2-0 mismu huu huu UCL

kuna tofauti ya Kuwafunga Barca na kuwatoa in two legs...hii game wako England ni ngumu kwao aidha sare au Kipigo

issue ni kumaliza second leg kule Camp nou ndo itakuwa hatari...

You silence suereza then you have chance of 51% of silencing Messi and Neymar
Ashukuriwe mungu game inaanzia emirates, ingekuwa spain mngeondoka na 7. Harafu mkuu acha kuishi kwa historia, hapo hapo London Barca wanaweza wakawapiga hata 6. Achana na hii Barca.
 
Back
Top Bottom