Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nafikiri malengo yapo kwenye ligi na FA Cup.

Lakini Wenger angesajili DM na hili wazo nililisema mwezi Juni mwaka jana. Coquelin hawezi kucheza high pressing game bado mdogo.

Goli la kwanza walimwacha Coquelin akabiliane na the world best player kwenye counter attack ya MNS hio ni suicidal.

Goli la pili ni same old mistakes Flamini si mwepesi na option alokuwa nayo ni kupiga kiatu.
Wenger amemnunua DM Mohamed Elney na anampiga bench
 
1456284448605.jpg
 
It was pleasure to have you Arsenal kama washiriki in the champions league, wasalimieni EPL.
 
Nashauri england wachague wachezaji kutoka timu mbali mbali za EPL ili waunde timu moja icheze uefa
 
Hongera kwa kutokufungwa
Hawa jamaa wana short memory kweli.....next season wataongea maneno haya haya wakipangiwa barcelona au bayern munich last 16.....haya safari yenu ya ECL kama kawaida inaishia last 16 sasa malizieni safari yenu ya 4th place EPL
 
Nafikiri malengo yapo kwenye ligi na FA Cup.

Lakini Wenger angesajili DM na hili wazo nililisema mwezi Juni mwaka jana. Coquelin hawezi kucheza high pressing game bado mdogo.

Goli la kwanza walimwacha Coquelin akabiliane na the world best player kwenye counter attack ya MNS hio ni suicidal.

Goli la pili ni same old mistakes Flamini si mwepesi na option alokuwa nayo ni kupiga kiatu.
Nawashangaa kuna watu wanamlalamikia Flamini, bila shaka hawa hawajecheza mpira au hawajui kabisa mpira.
Kwenye mazingira kama yale ni kosa la jinai unamuangalia mtu anafunga kirahisi, heri iwe Penalty ili abahatishe. Kwa mazingira yale mguu ulikuwa unaenda kwa Messi, tena kwa mguu wa kushoto. Wanadhani Messi angewaacha pale?
 
Hawa jamaa wana short memory kweli.....next season wataongea maneno haya haya wakipangiwa barcelona au bayern munich last 16.....haya safari yenu ya ECL kama kawaida inaishia last 16 sasa malizieni safari yenu ya 4th place EPL
Nakuja OT nakuchapa Viboko vya kutosha

jana sie Die hard fans tulikuwa tunatemesha jukwaa tu...game tulijua ni ngumu sana kwetu hakuna cha kuogopa ogopa wala short memory

game imeisha UCL imeisha

Next Game OT tuonane Jumapili saa 10 hapa jukwaani manure ya sasa ni timu flani ya kujipigia tu....yaani ni kujipigia tuuuuuu
 
Back
Top Bottom