Uwezekano wa kuwafunga upo kabisaHawa jamaa tukiweza kuwabananau hata tukawachapa kimoja itakuwa njema sana. Well, bado ni mapema sana!!!!
Suares katukosa kosa
We sijui kama sio shabiki wa SimbaRefa anawapenda Barcelona lakini watafungwa Tu muda SI mrefu
Hahahaah simba hakuna washabiki kama huyoWe sijui kama sio shabiki wa Simba
Bado najiuliza Ox-Chambo alishandwaje ku-convert hii kitu
View attachment 325049
SAA hizi tungekuwa tunaongea mengine....!!!Bado najiuliza Ox-Chambo alishandwaje ku-convert hii kitu
View attachment 325049
Ah...mie usingizi unaninyemelea hapa.SAA hizi tungekuwa tunaongea mengine....!!!
Haya ndio makosa ya hatari sanaSub Ox-chambo out Theo Walcot In
Tunapoteza mipira kirahisi sana aseee hii itatugharimu jamaa hawana masikhara.
Pole. Komaa bado kidogo.Ah...mie usingizi unaninyemelea hapa.