Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

1456157309960.jpg
 
khe khe khe khe khe khe khe watu mna maneno! kuna mwenzio eti anasema hawasafirishi msiba wanazika hapa hapa kwahio tupige kambi........

Mkuu RRONDO usiondoke tupige kambi hapa hapa maanamgonjwa amebakisha masaa machache akate KAULI,

TUnasubiri tuzike hapa hapa na JAMVI hatuanui mpaka 40 pia tutakuwepo humu!

kwa taarifa MSN wametua salama london right now....

RIP ARSENAL!
 
Sasa mi nasemaje sitaki maneno mengi barcelona kesho anafungwa mwenye mzigo aweke mezani elfu 50 kwa elfu 50 kama.uwezi kaa mbali ila masharti ni haya goli za penati haziesabiwi na wala timu moja ikishapewa kadi nyekundu pia haiesabiwi yaani kila timu itimie na penati zisiwepo namba yangu hyo 0766047815
 
umenichekesha mkuu
 
Haya ni yale ya Nyerereee....wanasema hajafa ilhali wanaanda kaburi.

Mi sisemi lakini.
 
Mkuu RRONDO usiondoke tupige kambi hapa hapa maanamgonjwa amebakisha masaa machache akate KAULI,

TUnasubiri tuzike hapa hapa na JAMVI hatuanui mpaka 40 pia tutakuwepo humu!

kwa taarifa MSN wametua salama london right now....

RIP ARSENAL!
messi messi neymar rakitich busquet suarez suarez iniesta suarez iniesta messi messi skiping past one two three arsenal defender and meeeeeeesssiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 4-0!!!!!!!!!!!!!
 
Brilliant from Messsiiiiiiii!!!!!
 
Duh waungwana mmepiga kambi nyumbani kwetu mapema sana mpaka siamini aseeeee,ila wengi wenu mmekosa faraja na amani uko kwenu inabidi muunde undugu hata wa mbali na Barca nakumbuka mlijibebisha kwa Leicester City mkaangukia pua sasa mmehamia uku duh karibuni sana na nawahaidi mimi binafsi nitakua nanyi mpaka mwisho wa mtihani huu.
 
Pamoja Mkuu, kesho tuishabikie Barca.
 
Back
Top Bottom