Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Francis Coquelin anatoka na Mathieu Flamini anachukua nafasi yake.

Flamini nae anawapa penalty Barca.
 
That's it Barca wanatumia makosa na wanatufunga

Messi anafunga penalty na hakuna shaka Barca wanaenda hatua ya robo fainali.
 
messiiiii anatoa gundu tangu acheze mpira hajawi mfunga petr cech mamammamaaaaaeeeeeeeeee
 
Ati ni kweli Messi anaweza kumfunga Cech ila awezi kumfunga Ali Mustapha kipa wa YANGA? ?
 
Mi ni Arsenal ila tuwe wakweli, Arsenal ni AVERAGE TEAM NA CHINI YA WENGER WE WILL NEVER EVER WIN UCL, nina wasi wasi kama atakuja shinda tena EPL.
Yuko tactically naive ktk modern game, very predictable! Hata Jamhuri Kiwelu wa Mwadui akowa anacheza nae, atalala usingizi mzuri tu maana anajua mipango ya Wenger ni one dimensional!
 
Stupid Arsenal. You can't just defend and enter [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] quarter final. You need to score goals too.

Mkuu, usiwe arrogant hivyo.

Ukisema hivyo (stupid Arsenal) unakosea, hii ni game, art na ufundi.

Ni mbinu za mchezo, goli la kwanza ni kosa la high pressing na tukafungwa kwa counter attack, hio ni level ingine kabisa.

Goli la pili ni individual error ambayo beki yoyote anaweza akafanya.

Hivyo ndivyo mpira ulivyo na Barca wameshinda kwa ubora wa MNS wao lakini tuliwabana kwa dakika 70.
 
Nafikiri sisi ndo timu pekee WE MEVER LEARN FROM OUR PAST MANY MISTAKES!
 
Mi ni Arsenal ila tuwe wakweli, Arsenal ni AVERAGE TEAM NA CHINI YA WENGER WE WILL NEVER EVER WIN UCL, nina wasi wasi kama atakuja shinda tena EPL.
Yuko tactically naive ktk modern game, very predictable! Hata Jamhuri Kiwelu wa Mwadui akowa anacheza nae, atalala usingizi mzuri tu maana anajua mipango ya Wenger ni one dimensional!

Arsenal wamecheza vizuri sana leo na timu bora duniani.

Lakini ni mpaka pale Arsenal itasajili class centre forward na class central defender hatutaweza kucheza kwa kujiamini na timu kama Barcelona.
 
Nimeumia sana roho leo" bikra ya Czech dhidi ya mesi sisi Chelsea tuliitunza leo inakuja kuvunjwa kirahisi tu hata bila kutumia KY ............imeniuma sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom