Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wakuu, i am a liverpool fan for life... lakini twende mbe;le turudi nyuma, the league has become more dangerous!!

everyday i ask myself why? nimeona cisse, warnork and eduardo, let alone wengi ambao ni insidous bone cracks and breaks, nimejisikia kama naangalia ukatili kuliko mieleka na ninja games

Poleni na namuombea ramsey awe na moyo wa cisee
 
wakuu, i am a liverpool fan for life... lakini twende mbe;le turudi nyuma, the league has become more dangerous!!

everyday i ask myself why? nimeona cisse, warnork and eduardo, let alone wengi ambao ni insidous bone cracks and breaks, nimejisikia kama naangalia ukatili kuliko mieleka na ninja games

Poleni na namuombea ramsey awe na moyo wa cisee

Mkuu sio siri mameneja wengi wanawatia motisha wachezaji wafanye fujo hasa kwa Arsenal ambao wanaogopwa na FA na vilabu vyao mbuzi wanavyovipenda. kama mfuatiliaji mzuri utagundua Arsenal hawapendwi na FA pamoja na baadhi ya marefa. Mfano leo refa alikuwa anaachia rafu nyingi tu hadi Fabregas alimpiga kikumbo cha kumwambia whats up? Vile vile Sol Campbell ...

Kuna Umafia sana kwenye soka angalia Chelsick ni mafia to the core hawawezi kubadilika ndio sababu hata FIFA wanaingilia kati haya mambo ya kuweka fweza mbele badala ya burudani its so sad. We hujiulizi kwa nini ni Arsenal tu ndio wachezaji wake wanavunjika miguu? Sorry to Manure and Chelsick fans huo ndio ukweli ukichunguza sana utagundua hilo. Angalia sasa Europe wanataka kuzipiga stop timu zote ambazo zinaishi kwa madeni na wanaoongoza ndio hao Manure na Chelsick tutaona mengi tu.
 
wakuu, i am a liverpool fan for life... lakini twende mbe;le turudi nyuma, the league has become more dangerous!!

everyday i ask myself why? nimeona cisse, warnork and eduardo, let alone wengi ambao ni insidous bone cracks and breaks, nimejisikia kama naangalia ukatili kuliko mieleka na ninja games

Poleni na namuombea ramsey awe na moyo wa cisee
mie nahisi na speed ya game nayo inachangia pia.inatisha mno na inaweza kuwapa uoga wachezaji manake hizi injury zinatisha.
 
thanx god we have won this difficult match

getwell soon our hero ramsey
 
2926695872-27022010191647.jpg


614493288-27022010194406.jpg


2680868312-soccer-barclays-premier-league-stoke-city-v-arsenal-britannia-stadium.jpg



Ingawa wapinzani wetu wanatuombea
mabaya tutafika tu May na ku-compare notes.
 
Wenger Intervew

'Ramsey's injury means I cannot enjoy win'


On the title race...
"We were in it before the game and mathematically we got closer to Chelsea today because they dropped points. It strengthens our belief and our determination. We will fight until the last game of the season."


On Aaron Ramsey's injury...
"I would like to say that it was a committed game. I didn't see many bad tackles in the game.

But this one was horrendous and I am very sad. I am proud of my team today and sad as well because to lose a player of that quality at 19 years of age when he is just starting his career is just horrendous. It is difficult to accept.

"He is the third player we have lost to tackles that are not acceptable - Abou Diaby, Eduardo and now Ramsey today. That is not football for me and I refuse to live with that.
"I cannot do anything about it. The players are professional they have to respect the rules and each other. The players who don't do it have to be punished. Ramsey is a young, fantastic talent."

On Ryan Shawcross' punishment...
"A three-match ban is just ridiculous. But I would prefer to give my support to Ramsey rather than to play the judge. For a boy of 19 with his talent to be kicked out of the game like that is beyond words. I cannot even enjoy the win tonight because it is so sad to see that."


On the reaction of his team-mates...
"The players were shocked. You could see that they moved away from him. For five minutes, we did not go anywhere because we did not play. After that we got back into the game."


On the injury itself...
"It is a bad fracture. He will be transferred to London tonight to see if he needs emergency surgery. He will be out for a long time."
 
Duh huyu dogo aliyemvunja mguu Ramsey ameongezwa jioni hii kwenye kikosi cha England kitakachocheza na Egypt. Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari BBC1 jioni hii.
 
Ila at least i was glad kuwa it looked like kila mtu mle ndani was touched na ile faulo mbaya, wote walikuwa down...at least itapooza hasira za AW (Let him banned frm palying soka for his lifetime!)

Wivu tu umewajaa wapinzani wetu kabumbu vijana wanaweka hata wanaoangalia arsenal matches worldwide ni wengi. Wengi bado vijana wastani wa timu nafikiri ni 23 yrs kwa hiyo ni mshituko mkubwa huu kwa wachezaji.

Duh huyu dogo aliyemvunja mguu Ramsey ameongeza jioni hii kwenye kikosi cha England kitakachocheza na Egypt. Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari BBC1 jioni hii.

Capello kama angekuwa na utu angem-drop kwa sababu hii inaleta picha mbaya sana. Angemuweka kiporo tu.
 
...Capello kama angekuwa na utu angem-drop kwa sababu hii inaleta picha mbaya sana. Angemuweka kiporo tu.

...I hope WALES watawajia juu FA, this is not fair kabisa,...au kwakuwa wamepangwa kundi moja na England 'wanachekelea?'
...angevunjwa Rooney hapo na mchezaji toka Wales halafu mchezaji huyo achaguliwe na John Toshack national team, kelele zao pasingotosha UK...

Fabio-Capello-001.jpg
Fabio Capello refused to answer questions about John Terry after the Euro 2012 draw in Warsaw. Photograph: Bartlomiej Zborowski/EPA

England will face Wales in their Euro 2012 qualifying campaign after the two were drawn together in Group G. The pair were placed alongside Switzerland, Bulgaria and Montenegro at today's ceremony in Warsaw.
 
wakuu, i am a liverpool fan for life... lakini twende mbe;le turudi nyuma, the league has become more dangerous!!

everyday i ask myself why? nimeona cisse, warnork and eduardo, let alone wengi ambao ni insidous bone cracks and breaks, nimejisikia kama naangalia ukatili kuliko mieleka na ninja games

Poleni na namuombea ramsey awe na moyo wa cisee

Mimi kwa maoni yangu nadhani marefa nao wanachangia sana kuwepo kwa rafu za kutisha katika mechi mbali mbali. Ile filimbi, vibendera na cards za njano na nyekundu hawakukabidhiwa kama urembo bali wanatakiwa wavitumie na kama kutakuwa na card nyingi za njano na hata nyekundu basi labda itapunguza kwa kiasi fulani rafu za kutisha ambazo mara nyingi GUNNERS tunakuwa on the receiving end.
 
Wales will be without teenage sensation Aaron Ramsey for Wednesday's friendly with Sweden following he suffered an horrific injury playing for Arsenal. Ramsey is expected to be out for 12 months after breaking his right leg in two places following a clash in his side's 3-1 Premier League win at Stoke.

From BBC Sports Online
 
article-1254368-087F9929000005DC-93_468x286.jpg

Aaron Ramsey receives medical treatment
as a distraught Ryan Shawcross instantly regrets
his horror tackle on the Arsenal midfielder


article-0-086FF092000005DC-773_308x185.jpg

Arsenal are finalising a four-year deal with Bordeaux striker Marouane Chamakh, with chief executive Ivan Gazidis negotiating the Moroccan's contract, so Arsene Wenger has at least secured one new signing for next season. Chamakh is out of contract this summer so entitled to speak to Gatzidis but the club are unlikely to announce it until the end of the season out of respect for Bordeaux. Chamakh has made little secret of the move.
 
Hawa madogo wa Arsenal lazima waumizwe sana maana movements zao zinakaribisha injury mbaya. Angalia mfano wa Walcott na uchezaji wake, ni wazi kuumia ni rahisi sana. Riadha nyingi.

Nway, ndio maisha haya. Dogo ndio hivo akipona abadilishe profesheni.

Wewe nawe ovyo kabisa, siku zote nilijuwa unafahamu soka kumbe ndio walewale pumba tupu.
 
Aaron Ramsey kavunjika mguu vibaya sana...: No, no, no. Even Referee Ryan Shawcross looks traumatised by this - as are a lot of other players. Aaron Ramsey has suffered a horrific injury after a tackle by the Stoke defender. They aren't replaying the incident. I'm not surprised. Ramsey was holding his injured leg up in the aftermath and it was not at the right angle in any way. Horrible.
Shawcross ndie mchezaji aliefanya faulu na sio jina la Refaree.
 
Pole sana Ramsey Pole sana Shawcoss,huyo dogo hakucheza rafu ya makusudi kama yule jamaa aliyemuumiza Eduardo na dogo mwenyewe alianza kulia baada ya kuona impact ya ile rafu.Vijana wote kwa sasa walikuwa kwenye viwango bora hadi kufikia level ya kucheza timu za taifa
Mwisho nawapa hongera Arsenal kwa kushinda mojawapo ya game ngumu sana ambazo mlibakiza
 
Official statement - Aaron Ramsey's injury

On Sunday, Arsenal Football Club released the following statement:

"During yesterday's match against Stoke City, Aaron Ramsey sustained fractures to the tibia and fibula in his right leg. Yesterday evening he underwent surgery.

"The operation successfully reduced the fractures and whilst it is too soon to state an exact timescale for recovery, Aaron will certainly miss the remainder of this season. Our thoughts are with Aaron at this time and everyone at the Club wishes him all the best in making as speedy a return to action as possible."


Source:Arsenal.com

Kila la heri Aaron...Tunakuombea upone haraka
 
Official statement - Aaron Ramsey's injury

On Sunday, Arsenal Football Club released the following statement:

“During yesterday’s match against Stoke City, Aaron Ramsey sustained fractures to the tibia and fibula in his right leg. Yesterday evening he underwent surgery.

"The operation successfully reduced the fractures and whilst it is too soon to state an exact timescale for recovery, Aaron will certainly miss the remainder of this season. Our thoughts are with Aaron at this time and everyone at the Club wishes him all the best in making as speedy a return to action as possible.”

Source:Arsenal.com

Kila la heri Aaron...Tunakuombea upone haraka

19 yrs old atapona haraka,arsenal matibabu yao ni ya hali ya juu,injury ya eduardo ilikuwa more complicated lakini alipona,tatizo kubwa ni psychology barrier baada ya kuumia kama ambavyo bado inamuathiri eduardo.
 
Wewe nawe ovyo kabisa, siku zote nilijuwa unafahamu soka kumbe ndio walewale pumba tupu.
Bila kutoa sababu wewe ndio unaonekana wa HOVYO.

Sasa pumba ni ipi hapo? hivi uliangalia reply ya Ramsey alivoingia kwenye mataruma? au uliona ile ya Walcott kuvunjwa bega kwenye mechi na Sunderland?
 
Back
Top Bottom