Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
mmbebabox
Mkuu jana hawakuweka kabisa picha za michezo kadiri jinsi ambavyo huwa wanaweka. Picha hizo wameweka leo i.e. masaa 18 baada ya mechi ya mwisho ya Arsenal hiyo ndio ilikuwa point yangu. Ukiangalia leo picha ziliwekwa baada ya mechi na hata week za nyuma huwa ni hivyo.
Match of the day huwa ni Jumamosi na kama hukuiona unaweza kuangalia J2 asubuhi ni marudio. Mwaka jana walishibdwa kuonyesha mechi ya Arsenal sikumbuki walicheza na timu gani lakini Arsenal walishinda, kwa sababu sikuiona nilijiwahi J2 ili niione maana nilifikiri labda ni makosa yangu lakini hata hiyo J2 haikuwepo, kwa hiyo nilichofanya ni kufuatilia muenendo wa haya mambo na niligundua kwamba waliiacha kwa sababu ya unazi. Siku hizi huwa naangalia mechi kwenye sky sports tu na sihangaiki na BBC tena kutokana na hiyo tabia.

WACHA1 please fafanua hio red,maanake napenda man utd lakini naangalia almost mechi zote za arsenal kwenye tv zikionyeshwa,una uhakika mwaka jana match of the day hawakuonyesha mechi ya arsenal??au nimekuelewa vibaya?