RayB
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 2,751
- 201
![]()
Ryan Shawcross leaves the pitch
in tears after his challenge on Ramsey
Ukweli wa mambo FA lazima wawachukulie hatua hawa wachezaji wanaokwenda kuumiza wenzao kwa sababu kila timu kwenye PL wanasema ukitaka kuwafunga Arsenal ucheze mpira wa maguvu na kuwafanyia fujo ni aibu kwa wapenda soka kwa tabia za kimafia mafia.
Kweli kabisa kaka manake hata Wenger baada ya game akihojiwa na Fabregas ktk sky sports wanadai ktk ligi ya England timu zote zinazo kutana na Arsenal mbunu yao ni kucheza faulo na mpira wa maguvu sasa sijui kwanini na Fabregas akaenda mbele zaidi kusema kuwa hawalindwi kabisa ile ilikuwa ni noma sana mazee yaani hata replay hawakuonyesha