HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,721
- 7,289
Mkuu mbona mimi nipo wazi kabisa kuwa nawaombea mema matupu? Si unaona kabisa nawaombea mbaki EPL?Mjinga una roho mbaya sio poa
Mkuu mbona mimi nipo wazi kabisa kuwa nawaombea mema matupu? Si unaona kabisa nawaombea mbaki EPL?Mjinga una roho mbaya sio poa
Tubaki wakati tunataabika, ni heri utuombee tushuke tukajipange upya uko championshipMkuu mbona mimi nipo wazi kabisa kuwa nawaombea mema matupu? Si unaona kabisa nawaombea mbaki EPL?
Hapana bro. Tunataka tuwe tunaendelea kuchukua points kwenu. Kwanza sisi tunausongo wa kumpiga Carrick kinoma.Tubaki wakati tunataabika, ni heri utuombee tushuke tukajipange upya uko championship