Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Usiwe na wasiwasi Mkuu. Kuna wakati tulikuwa nyuma kwa point 11 na "Football analysts" wakawa wameshatuondoa kabisa katika kinyang'anyiro cha EPL 2010. Waliokuwa mbele yetu wakaanza kuteleza na sisi pamoja na kuwa na majeruhi kibao lakini tukaanza kufanya vizuri mchezo mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuondoa pengo kubwa lilikuwepo. Sasa kama watateleza tena na tukiweza kuzipita hizi wiki mbili kwa mafanikio makubwa basi si ajabu tukawa tunaimba wimbo huu in few weeks. There it is There it is, Why it took us so long to win EPL championship...LOL! 😉
Have a great weekend Bro'
...dah,
...kaka wikiendi hii umejiaminisha kiukweli ukweli, mwenzio bado kiroho kinadundia mdomoni.
I wish Gaffer wetu angejua 'mtihani' anautupa kila msimu. Anyway, nisijesema mengi kina Eqlypz na Belo wakaja kuni quote hapa...
...SAF kaipania kweli mechi ya kesho, timu yake mdebwedo safari hii, bahati yake sana Giggs bado damu inamchemka.
Tuingoje hiyo kesho, Inshaallah.