Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni sana kila siku tunasema watoto bado hao,kwenye hizi gemu 4 huenda mkaambulia point 1
Siio kweli bra Belo, mimi nina uhakika wa kuondoka na 9 points, game ya jana ni mambo ya kawaida sana kwenye game wala sio jambo la kukatisha tamaa kihivyo
 
Less than 4hours kabla dirisha la usajili halijafungwa wazee 😡 !!!
..."wenzetu wananunuliwa 'viguo vya sikukuu' sie hata dalili hamna... "
 
......Mbu daaah umenikumbusha mbali sana mzee.......Babu naye sijui kwanini hataki watu ''tusherehekee sikuu'' kama watoto wa wenzetu....aaaaaarrrgg!
 
...ahh haa haa..

..."anatupimisha kiatu kwakuwa anajua kitatubana, kisha anatuahidi atatuletea kingine mwakani.
...nasi tunamuamini!"

mwaka wa tano huu sijui wa sita...
Ingekuwa Bongo wallahi watu wangesema mwanga huyu!
 
mimi si mchangiaji kwenye michezo,lakini kwa mpira huu wa Arsenal, itachukuwa muda kuchukuwa ubingwa, hakuna muhamasishaji kule mbele na wanaposhambulia nyuma wanajisahau ukiangalia baola pili tayari nani alikuwa amepunguza speed pia Rooney alikuwa pekee hakuna mtu kukaba, kusema kweli ukitaka kuwafunga Arsenal ni counter attack kwa gonga ni vigumu kuwafunga, wakishambulia hawarudi kwa kujipanga
 
...dah, hivi sasa ni 17:00:00 kwa saa za GMT, na Big Ben huyoooo anagonga kuashiria kufungwa rasmi dirisha dogo la usajili....

ndio kusema kweli Arsene Wenger zaidi ya Sol Campbell, kashindwa hata kusajili striker on loan basis kweli? Inauma sana aisee...

Anyway,...
machungu ndio majaaliwa yetu sie. Acha tujifariji na 'chenga twawala' tu sasa 🙁
 
Naona hukumsoma Arsene jana. alisema hana mpango wa kununua au kupata mchezaji mpya kwa sababu moja kubwa ambayo mimi naiona ni kuwa demoralize wachazaji waliopo i.e. kushindwa kwa jana psychologically ingekuwa big blow. Tusubiri majibu Chelsick darajani.
 
gun__1259335452_fabregas_floor.jpg

'We have to be strong and stick together'

Cesc Fabregas stays positive despite defeat against Man United
 
Siio kweli bra Belo, mimi nina uhakika wa kuondoka na 9 points, game ya jana ni mambo ya kawaida sana kwenye game wala sio jambo la kukatisha tamaa kihivyo
Yaani wewe hata hesabu zimekushinda au umechanganywa na kipigo?! Umecheza mechi 2 kati ya hizo 4, umetoka sare moja na kufungwa moja hivyo una pointi 1 mpaka sasa na mechi 2 zimebaki....sasa hizo pointi tisa ambazo una uhakika nazo zinatoka wapi?!
Labda kwa kusaidia:
1. Ukishinda mechi......pointi 3
2. Ukitoka sare......... pointi 1
3. Ukifungwa.............pointi 0
 
Mkuu you're still yapping about our defeat yesterday 🙂. Niliandika hapa katika hizi mechi nne vigongo (Aston Villa, MANU, Chelsea na L'Pool) kama tukifanikiwa kukusanya at least 8 points out of 12 points then we would have been in a very good position to challenge MANU and Chelsea.

Mpaka sasa katika mechi mbili ambazo tulitakiwa kukusanya points 6 tumeambulia moja tu. Hivyo hata tukishinda mechi mbili zilizobaki (I doubt about our ability to defeat Chelsea, but in soccer anything is possible....hahahahaha tunajifagilia) tutakusanya points 7 tu. Hata hivyo kati ya sasa na May bado kuna kipindi kirefu na lolote linaweza kutokea.
 
... (I doubt about our ability to defeat Chelsea, but in soccer anything is possible....hahahahaha tunajifagilia)...

...Bro, nia ya kuwafunga tunayo, uwezo wa uwafunga tunao, na sababu za kuwafunga tunazo....

...CUM ON YOU GUNNERZ!
 
...dah, hivi sasa ni 17:00:00 kwa saa za GMT, na Big Ben huyoooo anagonga kuashiria kufungwa rasmi dirisha dogo la usajili....

ndio kusema kweli Arsene Wenger zaidi ya Sol Campbell, kashindwa hata kusajili striker on loan basis kweli? Inauma sana aisee...

Anyway,...
machungu ndio majaaliwa yetu sie. Acha tujifariji na 'chenga twawala' tu sasa 🙁
mkuu hakuna wakati mgumu na huwa na umwa kichwa kama wakati wa usajili.huyu mzee yuko tayari kuondoka lakini board haipo tayari kumruhusu.Wenger hatoacha kutufanyia vituko na anajua ni wachezaji wa wili au watatu tu wamaana akisajili timu inapata kombe.lakini mzee kaichoka uingereza na sidhani kama mkataba wake safari hii ukiisha ata sign mpya kama ataumaliza salama huu wa sasa hivi.

Mwaka jana huwezi kuamini kuna wakati nilikuwa naombea tusimalize top 4 hili tuweze kupata changes Emirates,matokeo yake tukafanikiwa na Wenger akaweza kujitetea na board ikaendelea kumkumbatia.kama tusingemaliza top 4 mwaka jana mabadiriko yangekuja mkuu bila shaka lakini alichotufanyia usajili huu mdogo licha ya kuuza adebayor na RVP kuwa injury ni tosha kuwa AW kaichoka Arsenal.
 
Akishinda kikombe mwaka huu utasema nini? kumbukeni Arsenal anapigwa vita kila upande kuanzia kutoka FA et al. Hii ratiba ya kucheza na vilabu vyote vikubwa at the same time katika big 4 nani anayo? Nobody.
 
Ukweli ni kwamba inashangaza kweli kweli Aston Villa Vs Arsenal,Arsenal Vs Man Utd,Chelsea Vs Arsenal,Arsenal Vs Liverpool,mfululizo wa mechi hizi kwa kiasi fulani haukutenda haki kwa Arsenal..Anyways ngoja tu tumalizane na hawa wazee mapema ili kama vp tuwasahau tu..Mechi zinazofuata tutacheza tukiwa hatuna presha ya kukutana sijui na Chelsea,Man Utd wala Liverpool,tunamalizana nao mapemaa
 
Back
Top Bottom