Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

MANCHESTER UNITED SIGN....BLIND!

Finally confirmation comes through that Daley Blind is indeed now a Manchester United player, although it takes the Dutch club Ajax to confirm the deal.

........kiukweli mna mshabikia lakini hamjawahi kumsikia huyu mchezaji nyie hata siku moja!
Mnabisha? wenzio Nzi, Mndengereko, RRONDO na mfarisayo wamejikalia kimyaaaa....wanaugulia kimya kimya, weye tu na Bulldog ndio vishindo hapa,......!
 
Rubaman kweli unaamini Wenger anaweza kwenda Italy bure bure! Kunaweza Kuwa kuna jambo Arsenal wakashangaza wengi dk za mwisho za Usajili Strootman? Au mtu yoyote ambaye wengi watashangaa chochote kinaweza kutokea Medical zengine sio lazima ndani ya Club! Pesa ni kila kitu pia.

Mkuu Wenger nadhani alishamaliza kusajili zamani. Sijui kama huko Italy amefuata mchezaji yeyote nasikia kuna striker Arsenal walimtaka toka timu moja ya Italy lakini nasikia ilishindikana. Tusubiri tuone mwishoni kama amekwenda Italy kufuatilia mtu. Talksport wanasema Arsenal na Man utd wameshindwa kuelewana juu ya Welbeck, that's mean hakuna kipya kitakachokuja leo.
 
Loan gani bana, it's a 4yrs deal.
halafu hilo dau la £320,000 per week mnataka muudhi Rooney tu!
Van Persie ndio majeruhi mpaka 2015, ....Rooney akinuna hata 7Up mtaitizamia kwenye friji tu!

Deal ya Falcao ni loan but kuna option ya kumnunua mwisho wa msimu na kuna tetesi RVP ndio United wamemsajili Falcao fasta
 
MANCHESTER UNITED SIGN....BLIND!

Finally confirmation comes through that Daley Blind is indeed now a Manchester United player, although it takes the Dutch club Ajax to confirm the deal.

Manchester United are awfully desperate for the 4th spot trophy. They have spent almost £200M on one transfer window just to get back into top 4. I'm sure you wont make it. Spurs have more chance of breaking into top 4 than the mid-table team Manchester United.
 
Yap msimu huu tutashindana na nyie kugombania ubingwa wa top four
 
......Mshindani wenu Everton na Spurs bana,
achana na sie....

We are Top-Seeded pamoja
na Man City, Chelsea, na Liverpool.....
😛op2:
 
Mkuu Wenger nadhani alishamaliza kusajili zamani. Sijui kama huko Italy amefuata mchezaji yeyote nasikia kuna striker Arsenal walimtaka toka timu moja ya Italy lakini nasikia ilishindikana. Tusubiri tuone mwishoni kama amekwenda Italy kufuatilia mtu. Talksport wanasema Arsenal na Man utd wameshindwa kuelewana juu ya Welbeck, that's mean hakuna kipya kitakachokuja leo.

Alikuwa ni Cerci yule..nadhan anakaribia kwenda ATLETICO MADRID, sijui kama deal yake imekamilika..

Me sidhan kama ni halali pia kwa some of Arsenal fans kumlaumu Wenger kuhusu Falcao, kumlipa mtu mwenye miaka 29 mshahara wa 350k per week lazima uwe umechanganyikiwa kidogo na ukichukulia ni just a LOAN deal..

But Wellbeck ni kama Sanogo tu, Wenger kama alikuwa anataka cheap options REMY angefit sana pale Arsenal..
 
......Bye bye Ryo Miyaichi, Joins FC Twente on Loan,

Ignasi Miquel Moves to Norwich,.....dahhh,.....
pale LB anabaki Gibbs na Nacho Monreal tu,
Cover ilikuwa Vermaelen na huyu Miquel.....
😛op2:​
 
Khe khe khe Mkuu Belo, usimuige tembo bhanaaaa, nyie gombeeni nafasi kuanzia ya saba kwenda chini, ubavu wa kugombea nafasi ya nne hamnao Khe khe khe

Yap msimu huu tutashindana na nyie kugombania ubingwa wa top four
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa ni Cerci yule..nadhan anakaribia kwenda ATLETICO MADRID, sijui kama deal yake imekamilika..

Me sidhan kama ni halali pia kwa some of Arsenal fans kumlaumu Wenger kuhusu Falcao, kumlipa mtu mwenye miaka 29 mshahara wa 350k per week lazima uwe umechanganyikiwa kidogo na ukichukulia ni just a LOAN deal..

But Wellbeck ni kama Sanogo tu, Wenger kama alikuwa anataka cheap options REMY angefit sana pale Arsenal..

Yeah, pesa atakayolipwa Falcao ni ya kulisha nchi mbili za Afrika. Remy nadhani ni historia yake, very gamble kuliko pesa iliyomwagwa kwa Chambers, Wenger asingecheza kamari. Nakubaliana na wewe sisi wapenda mpira hasa wana Arsenal huwa hatukalii(mimi mmojawapo) kumlaumu Wenger bila kujua bajeti ya timu ilivyo. Yeah ni Cerci,nilisikia anahusishwa kwenda Arsenal sijui ilishia wapi? Welbeck sijui kama ataongeza kitu kwetu kwa kweli. Labda kwa vile ana experience ya EPL kuliko Sanogo ataweza kufunga magoli kadhaa. Nasikia ni permanent deal la £18M linakaribia kukamilishwa.
 
£ 350,000 per Week FALCAO.
£ 300,000 per Week Rooney
£ 250,000 per Week Di Maria
£ 220,000 per Week, Van Persie.....

#7UpWamechanganyikiwa!......

Ooooppsss, wamesajili golikipa wa Sampdoria! .....still loading!
:nerd::nerd::nerd:​
 
Sasa kama klabu inagenerate pesa unataka itumike kufanyia nini? Endeleeni kusajili like of Sanogo,Wellbeck.Mlitupa RVP kwa £ 24m nasi tumewapa Shabaranks kwa £ 16m
 
.....jamani eee,.....Loic Remy sio mzuri ki hivyo eee!.....He's french International, lakini anasugua ubao vile vile.
Welbeck brings something into a team, ila team aliyokuwa anachezea sio!
Ngojeni sasa muone atavyokuwa anatesa....

BTW, hatuhitaji Striker/mchezaji ambaye anakuja na kuchukua mwaka mzima kuji adapt na EPL
i.e Carlos Vela, Antonio Reyes type of players,

Welbeck can be thrown straight into the pitch aonyeshe makali yake.

He is a Gunner now, let us give him our 100% backing!
COYG!!!!!!!!
 
BBC wanaripoti, Welbeck to Arsenal £16M done deal, nadhani hii itakuwa permanent. Nadhani DonDonald atachoma moto jezi ya Welbeck aliyoinunua katika pre-season. Nina uhakika jezi ya Welbeck itakimbizana na jezi ya kipa wa rizevu kwa kununuliwa. Tusubiri tuone wana Arsenal wangapi watainunua.
 
Sasa kama klabu inagenerate pesa unataka itumike kufanyia nini? Endeleeni kusajili like of Sanogo,Wellbeck.Mlitupa RVP kwa £ 24m nasi tumewapa Shabaranks kwa £ 16m

......MK DONS.....!!! :shetani::shetani::shetani:​
 
£ 350,000 per Week FALCAO.
£ 300,000 per Week Rooney
£ 250,000 per Week Di Maria
£ 220,000 per Week, Van Persie.....

#7UpWamechanganyikiwa!......

Ooooppsss, wamesajili golikipa wa Sampdoria! .....still loading!
:nerd::nerd::nerd:​

Ila mchezaji akiwa mkopo na club yake mama si huwa inashea kumlipa kiasi fulabi? Au!
 
Back
Top Bottom