Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu Wacha1 na Gunners wengine, wala msiwe na wasiwasi bado sisi tupo mechi chache kuweza kuwa kwenye nafasi ya kunyakua ubingwa.

Walichofanya Liverpool leo ni kufungua nafasi zaidi kwa timu za juu kuwa 4 na ambazo zote zinaweza kuwa mabingwa.

Pia tumeona Man City nao wakidondosha points kwa Norwich.

Hiki ni kipindi cha Arsenal kuthibitisha kwamba wao mwaka huu wanaweza kuwa mabingwa.

Mimi ni mmoja wa wapenzi tulioshuhudia mechi ya leo live pale Anfield na naweza kusema ilikuwa awful kweli.

Wenger na timu yake wanazo sababu za kushindwa leo lakini watatoa majibu halisi jumatano dhidi ya Man Utd.

Mesut Ozil leo hakuonekana na ni afadhali angeanza Thomas Rosicky na Podolski.

Nafikiri Wenger atafanya mabadiliko kwenye mechi ijayo na tutaona Arsenal ingine kabisa siku ya jumatano.

Lakini ukiangalia sana utaona kwamba Arsenal wanafahamu wanafanya nini kwenye kampeni hii.

Tuna mechi karibu tano kuanzia Jumatano na tunaanza na Man Utd, halafu Liverpool, Bayern Munich na tutamaliza na Sunderland na ni mechi 13 zimebakia.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

.....Ramsey, Get Well Soon!....
Kwa upande fulani, team ilipokuwa na Ramsey, Ozil pia alikuwa vizuri...

Jamaa (Ramsey) alikuwa analeta balance nzuri kuzidi Carzola japo nae kabla ya kuumia alisha drop kidogo kiwango

Well well well,....jumatano naamini team itakuja kivingine...Le Professeur knows better.

Together we stand!
 
#Unaboa Chifu.....

Nani kazungumzia title?....

Ushawahi kuona Bala kazungumzia suala la Ubingwa?....

Acha kuniquote na upuuzi wako huu....

Bala.
hasira za nn??hujiamini itachukua ubingwa.....?????....unajua maana ya upuuzi ????ungeuignore kama ni upuuzi.... mapovu yasikutoke....kipigo kimoja...unachanganyikiwa.........jukwaa huru hili....hutaki kuwa quoted...jitumie sms kwenye simu.,,yako....
 
......kaka unapoteza bure nguvu zako kuwajibu hawa #Mburukenge ...
Mimi humu nawajibu wale manguli wa majukwaa haya, yaani piga ua hata wakifungwa wao wapo tu wanaugulia na tai zao shingoni....
Nzi, Belo, ndio wanaostahiki kitupiana nao vijembe humu,... Wengine wanapiga kelele tuu humu huwajui hata wanashabikia nini....

ngumu kumeza..ndio mpira huo....najua inaumaaaaaaa....86.5fm ndio mpango mzima...........
Untitled-1_58.jpg
 
Poleni the gunners kwa kuchezea mkono bana!...

roho zinawauma........povu zinawatoka...wanahanyahanya....chezea ubingwa ww....hawajui kuna winners na wasindikizaji.....poor them.........
 
Wacha1 unaumiza watu roho...hawachelewi kujiua........acha hizo bana......
 
Nasikia Wenger ameanguka baada ya kipigo cha jana.

Aliteleza na kuanguka na mabegi yake at Liverpool Lime Street Station.

Bf-eoYCCMAAt17O.png:large
 
article-2554827-1B4EA56800000578-318_634x433.jpg

Strolling through: Wenger arrives at Liverpool Lime Street Station after the defeat.

article-2554827-1B4EA57300000578-57_634x430.jpg

Slipped up: Wenger looks in pain as he takes a tumble coming into the station.

article-2554827-1B4EA57C00000578-341_634x422.jpg

Helping hand: A police officer comes over to help Wenger back onto his feet.

article-2554827-1B4EA58400000578-616_634x524.jpg

Back on track: Another police officer helps Wenger with his bag as he is brought back up.

Hope Wenger was alright after this dreadful slip. Definitely, this was not a dive.
 
Sioni sababu ya Arsenal ku-panic kiasi hicho sababu ya kupoteza mechi moja ukizingatia kuwa City, Totenham na Chelsea wote watafunga safari ya kwenda Anfield
 
Thanks Gunner,

We got absolutely spanked by Liverpool!.

Leo siyo siku ya kuanza kuainisha makosa lakini matokeo kama haya yanatuweka katika nafasi ya kuijongea timu kwa taswira tofauti. Kuvunjika kwa pakacha siyo mwisho wa uchukuI na hasa ikichukuliwa kuwa hata timu zingine zinazotuzunguka zinadondosha pia points.

Hii imeishapita. The end of one thing leads to the beginning of another.

Tukutane tena kwenye uwanja wetu wa kujidai On Wednesday, 12 February, kwenye mida ya 19:45 GMT kutoa vidonge kwa Man United.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
hasira za nn??hujiamini itachukua ubingwa.....?????....unajua maana ya upuuzi ????ungeuignore kama ni upuuzi.... mapovu yasikutoke....kipigo kimoja...unachanganyikiwa.........jukwaa huru hili....hutaki kuwa quoted...jitumie sms kwenye simu.,,yako....
Sijiamini itachukua Ubingwa?....Kwa nini uniquote kwa kitu ambacho sijakizungumzia na wala sina hata wazo nacho?......#UmevurugwaWewe .....Si bure...

Eti Hasira.....Nani ana hasira?....

Naujua sana upuuzi.....Na huo hapo juu uliouweka ndio upuuzi....

Kwa nini kunilisha maneno ambayo sijasema?.....

Quote ya picha kama hiyo ya Al - Sahaf uliyoitoa huwa inatolewa kwa mtu aliyezungumzia kitu fulani.....Sasa whjy quoting me on something cha kipuuzi?.....Never talked on Ubingwa sasa why quoting me kuhusiana na huo upuuzi?.....

#MburukengeLimited
 
Nasikia Wenger ameanguka baada ya kipigo cha jana.

Aliteleza na kuanguka na mabegi yake at Liverpool Lime Street Station.

Bf-eoYCCMAAt17O.png:large

Proffesor anatia huruma sana
 
Thanks Gunner,

We got absolutely spanked by Liverpool!.

Leo siyo siku ya kuanza kuainisha makosa lakini matokeo kama haya yanatuweka katika nafasi ya kuijongea timu kwa taswira tofauti. Kuvunjika kwa pakacha siyo mwisho wa uchukuI na hasa ikichukuliwa kuwa hata timu zingine zinazotuzunguka zinadondosha pia points.

Hii imeishapita. The end of one thing leads to the beginning of another.

Tukutane tena kwenye uwanja wetu wa kujidai On Wednesday, 12 February, kwenye mida ya 19:45 GMT kutoa vidonge kwa Man United.

Once a Gunner, Always a Gunner.

What's a gunner without a gun?
 
did i say poleni majirani? oh and thanks for warming up the place for us...really, iko na joto nzuri! adios n. ol the best fighting for position 4.
 
article-2554029-1B4BF0A600000578-174_634x422.jpg

The scoreboard at Anfield says it all
on a miserable afternoon for Arsenal

We will bounce back and the future looks bright. Kronke kashuhudia mwenyewe mapambano ambao the boys looked jaded, and did not turn up. Monreal na Ozil walikuwa very poor today. Prof atafanya mambo kama kawaida yake .......... .... ... .. Loserfools waliikamia sana hii mechi ..... ...... ... .tutaona J2 kama wataweza kuweka magoli mengine matano pale Emirates kwenye mtanange wa FA cup.

Hata kabla ya kipigo hiki hukudhani kama zinaweza kupigwa 5 ndani ya Nyavu zenu. Na hata kwa hizo 5 ni jambo la kumshukuru Mungu tu, maana mmekoswa nyingi sana.
 
Back
Top Bottom