Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naamini zitarudi...mnakumbuka hatrick ya Ashavin mwaka 2009 ? Tulitoka 4-4...I still biliv Arsenal can bounce back...stay tuned

Naamini Arsenal wamerudisha goli zote tena kama 2009...Arshavin kwa mara nyingine tena anakuwa shujaa wenu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
......hahahahahaaa haki yako bro,
Sikukuu yenu leo!

Dahhh,
Mmetuweza kweli!
Shocking defending, maana lengo,
Nia na madhumuni game ya leo ilikuwa kumzuia #Suarez kwa gharama zote kumbe dahhh....

Suarez did his job very well, alivuta defenders wenu wote mkakaa uchi

it was a good tactic
 
As liverpool fan nawapa pole Kama Cuzin zangu nyie ingekuwa wale mashetani sawa Mie najua pain yenu wote tutafika tu msiwasikilize wachawi! Kina Balantanda kina wacha1 na viper poleni ila safari bado ipo na mtafika tu. kazi moja tu mchawi asifike tulipokuwa.
 
Naamini Arsenal wamerudisha goli zote tena kama 2009...Arshavin kwa mara nyingine tena anakuwa shujaa wenu.

"Nlikuwepo":bolt:
hahahaaaaaaa

umemuweza kweli... ngoja nisepe:A S 13::A S 13:
 
Vijana wa arsenal lazima walikesha disco.tu haiwezekani!? aibu gani hii...ningekua na uhakika wa kupewa hela au madili ningelia kama shabiki wa Yanga alivofanyaga...arsenal kwel mmeniudh leo.. ila ushabiki saingine mzuri hapa kuna mashabiki wa man u mabest zangu wamenikuta sheli hapa wakanijazia mafuta kwenye gari..teh teh nachekea rohoni hapa najisemea hapa ntaomba tuwe tunafungwa niwe nafaid ofa ama vip...
 
Hahaha swahiba nakusalimia tu. Unawaangalia vijana wa mou? Mbili shaaaa kama utani hahaha.
Haya mambo magumu kidogo
.....mmejaa leo hapa,
Wengine ndio kwanza leo nawaona....

....haya, tuendelee kuangalia kabumbu....

COYG!!!!!
 
Back
Top Bottom