Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
#Unaboa Chifu.....
Nani kazungumzia title?....
Ushawahi kuona Bala kazungumzia suala la Ubingwa?....
Acha kuniquote na upuuzi wako huu....
Bala.
......kaka unapoteza bure nguvu zako kuwajibu hawa #Mburukenge ...
Mimi humu nawajibu wale manguli wa majukwaa haya, yaani piga ua hata wakifungwa wao wapo tu wanaugulia na tai zao shingoni....
Nzi, Belo, ndio wanaostahiki kitupiana nao vijembe humu,... Wengine wanapiga kelele tuu humu huwajui hata wanashabikia nini....
Last edited by a moderator: