Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pelegrini-the tactical one
mourinho-the special one
moyes- the choosen one
wenger- five one
 
We dont have pacey players in our team. Liverpool took really advantage of this, they kept a tempo and we couldn't cope with them. Next season I guess.
 
#WatasemaSana ....

Together We Stand...

Hongera zenu Liverpool.....

Mlistahili ushindi Leo.....Mlikuwa bora zaidi yetu....

COYG...
arsenal.jpg
 
Miaka yote Arsenal huwa wana nafasi ya kuchukua ubingwa but hawana consistency,
Subiri fixture yao ya February na March ipite ndio utaijua vizuri Arsenal

Kaka hata Man U kuna msimu alikuwa nyuma 9 points na in the end akatwaa ubingwa. Bado Arsenal wana nafasi ya kutwaa ubingwa ukizingatia gap ni only 2 points
 
Kaka hata Man U kuna msimu alikuwa nyuma 9 points na in the end akatwaa ubingwa. Bado Arsenal wana nafasi ya kutwaa ubingwa ukizingatia gap ni only 2 points

Man u sio Arsenal,hata hiyo man u ya sasa tumemuacha point kumi lakini kufika pale tulipo kwao ni ngumu msimu huu.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Man u sio Arsenal,hata hiyo man u ya sasa tumemuacha point kumi lakini kufika pale tulipo kwao ni ngumu msimu huu.

"Nlikuwepo":bolt:
Mimi sio a gunner lakini I'm convinced bado Arsenal ana nafasi kubwa ya kuutwa ubingwa kufungwa mechi moja sio mwisho wa league
 
kichapo cha leo kilikuwa Heavy, ila nina imani kombe la F.a tutawachapa tu Liva
 
Kaka hata Man U kuna msimu alikuwa nyuma 9 points na in the end akatwaa ubingwa. Bado Arsenal wana nafasi ya kutwaa ubingwa ukizingatia gap ni only 2 points

Usilinganisha ManUnited tena ile ya Fergie na hii Arsenal ya kina Giroud,Arsenal walianza vizuri sana lakini wachezaji wengi wamechoka sasa mfano Ozil,Giroud Wilshere ni spana mkononi hawezi cheza game 3 mfululizo Ramsey,Walcot ni majeruhi.

Arsenal bado wako kwenye FA,UCL na EPL na watacheza game 3 ndani ya siku 8
12/02/2014: Arsenal VS Man United
16/02/2014 Arsenal VS Liverpool
19/02/2014 Arsenal VS Bayern Munich

Kibaya zaidi Chelsea wako kwenye form na wakiamua kutokufungwa wanapaki bus then biashara imekwisha na wameshamalizana na ManUnited na Chelsea wamebakisha dhidi ya Arsenal na Liverpool [TABLE="class: table-stats"]
[TR="class: preview"]
[/TR]
[TR="class: preview"]

[/TR]
[TR="class: preview"]
[TD="class: kickoff"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Usilinganisha ManUnited tena ile ya Fergie na hii Arsenal ya kina Giroud,Arsenal walianza vizuri sana lakini wachezaji wengi wamechoka sasa mfano Ozil,Giroud Wilshere ni spana mkononi hawezi cheza game 3 mfululizo Ramsey,Walcot ni majeruhi.

Arsenal bado wako kwenye FA,UCL na EPL na watacheza game 3 ndani ya siku 8
12/02/2014: Arsenal VS Man United
16/02/2014 Arsenal VS Liverpool
19/02/2014 Arsenal VS Bayern Munich
[TABLE="class: table-stats"]
[TR="class: preview"]
[TD="class: match-date"][/TD]
[TD="class: kickoff"][/TD]
[TD="class: status"][/TD]
[/TR]
[TR="class: preview"]
[TD="class: match-competition"][/TD]
[/TR]
[TR="class: preview"]
[TD="class: statistics show"][/TD]
[TD="class: kickoff"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Haya mkuu, lakini I stand by by statement. The title is still for Arsenal to loose
 
Back
Top Bottom