mchelegwanzingi jr
Member
- Feb 7, 2014
- 16
- 0
Leo mnapigwa 7 haya la 5 hilo
cha nne iko!!! Hulalaaa...
Leo hata manane basi hongera kwa Arsenal kwani wamezidiwa kila idara
Tuna timu mbovu ndugu,ni kwa vile hatutaki kuamini,Wenger hataki kusajili ni mwehu huyu mzee.
Timu ni mbovu kulinganisha na uchezaji wetu
Babu anajaribu kujenga eti anaweza kuongeza kipato na kuchukuwa kikombe kwa wachezaji walewale
Ndio alikosana na Vern Persy
Skirtel-2Can Suarez add another S in the Sheet