Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ahahahahahahahahahahahaha eti. 86.5 Arsenal fm...duh!
 
T

To be honest japo mpira unachezwa uwanjan na si mdomoni but I dont think we will another 3 points to Manure.
Wenger ameshachanganyikiwa, kumbuka mnacheza Jumatano(Man United),Jumapili(Liverpool) then Jumatano(Bayern).Game 3 kali ndani ya siku 8 na zote ni mechi muhimu
 
Suarez ndio ametuangusha leo

kazingua kishenzi ila sio mbaya amekuwa replaced na hao wengine hahahahah yaani jana i was so happy mtaani kulikuwa kimyaaa na j5 i hope patakuwa kimya kama jana.
 
Wenger ameshachanganyikiwa, kumbuka mnacheza Jumatano(Man United),Jumapili(Liverpool) then Jumatano(Bayern).Game 3 kali ndani ya siku 8 na zote ni mechi muhimu

Ni kweli kuwa mechi zote ni muhimu na ni ngumu but I still believe timu yangu ipo poa pamoja na kichapo tulichopokea jana na kama nilivyosema I do think we will loose another 3 points hyo J5.
 
Sijiamini itachukua Ubingwa?....Kwa nini uniquote kwa kitu ambacho sijakizungumzia na wala sina hata wazo nacho?......#UmevurugwaWewe .....Si bure...

Eti Hasira.....Nani ana hasira?....

Naujua sana upuuzi.....Na huo hapo juu uliouweka ndio upuuzi....

Kwa nini kunilisha maneno ambayo sijasema?.....

Quote ya picha kama hiyo ya Al - Sahaf uliyoitoa huwa inatolewa kwa mtu aliyezungumzia kitu fulani.....Sasa whjy quoting me on something cha kipuuzi?.....Never talked on Ubingwa sasa why quoting me kuhusiana na huo upuuzi?.....

#MburukengeLimited

maneno mengi povu kamasi uharo zote zinatoka...eti 5-1...hahahahahh.....ngumu kumesaaaaaaaaaaa...umekula kwako... vumilia tu...ukikubali kuolewa usilale na kyupi........
b857e7be-26cc-41a1-99df-d8f259e2aa23.jpg
 
mkuu nyie hapo ndo hamna chata yenu kwenye hiyo frequency ya radio mpya 86.5 fm inabidi mzunguko huu wa pili mjitahidi.

sitaacha kuisikiliza....iinanipa rahaaa.....masafa saafii...nasikia kuna uwezekano baada ya mechi na chelsea masafa yakabadilika ikawa
86.57 fm...sijui kuna ukweli wowote???
 
usingeleta matusi tangu mwanzo tusingefika huku...atleast umekuwa gentleman.......i know how to handle them freaks...
I see...

You call 'em freaks?......Haya bana...

Nijuavyo mimi matusi mtu ukitoa Lugha ya matusi JF maneno hayatokei....Yanzuiwa....Sasa sijui tusi liko wapi kwenye post zangu hapo juu....Ama #Mburukenge na #Kuvurugwa ni matusi?

Anyways...Ngoja niwe bubu mkuu.....
 
.... Tyta kwani wewe washabikia team gani kwani?

Maana duhhh, umekuja kwa #NgebeNaMasanga ya hali ya juu!
 
Last edited by a moderator:
I see...

You call 'em freaks?......Haya bana...

Nijuavyo mimi matusi mtu ukitoa Lugha ya matusi JF maneno hayatokei....Yanzuiwa....Sasa sijui tusi liko wapi kwenye post zangu hapo juu....Ama #Mburukenge na #Kuvurugwa ni matusi?

Anyways...Ngoja niwe bubu mkuu.....

....bro, #Mshabiki wa team gani huyo?

Maana kaibuka ghafla bin Vuu sijui hata pa kumtupia mawe!
 
.... Tyta kwani wewe washabikia team gani kwani?

Maana duhhh, umekuja kwa #NgebeNaMasanga ya hali ya juu!
sikuwa na nia mbaya kupost ile picha...lakini reaction yenu ilikuwa so negative with provocative terms and insults...its okay..unafiki mmbaya sana huyu balantanda anasignature nzuri ya regia mtema lakini haifanyii kazi na kuanza kuni attack personally....na ww hata kama ni liverpool....
 
Back
Top Bottom